Ryan Babel Habari zako Tunazo.

Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Liverpool, Ajax, Derpotivo La Coruna, Ryan Guno Babel (31)  kwa sasa akiitumikia Besiktas Jumapili alikuwa kwenye kikosi cha Uholanzi ambacho kilichezea kichapo cha 2-1 toka Kwa Ufaransa.           Babel kwenye Uzi wa Liverpool. Kocha Ronald Koeman Haoni shida kumtumia mkongwe huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 31 na alifaniikiwa kufunga goli la kusawazisha dakika ya 67 kabla ya Olivier Giroud kupachika Bao la ushindi kwa upande wa Ufaransa kwenye dakika ya 75. Kwenye kikosi kizima cha Uholanzi kwa…

Facebook Comments

Read More