TAMKO LA JESHI LA POLISI Nchini Uganda kuhusu waliojiandaa kumpokea Bobi Wine Uwanja wa Ndege wa Entebe !!!!

JESHI la Polisi nchini Uganda limetoa mwongozo wake  kwa wafuasi na familia ya Mbunge na Msanii ROBERT KYAGULANYI SSENTAMU maarufu kama “Bobi Wine” juu ya utaratibu wa mapokezi pindi atakapowasili katika uwanja wa Ndege wa Entembe  akitokea nchini Marekani alikoenda kupata matibabu Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini humo, EMILIAN KAYIMA amesema kuwa jeshi hilo pamoja na vitengo vyote vya usalama watapambana vikali na kuwatia nguvuni wafuasi wa Bobi Wine, People Power na hata familia, ambayo itafanya maandamano katika mapokezi ya Mbunge. Aidha Msemaji huyo ameongeza kuwa, Familia ya Bobi…

Facebook Comments

Read More

BOBI WINE- “Kuna Waganda Wengi Gerezani Wanaopitia Mateso Kama Niliyoyapata”

MSANII Bobi Wine (Jina Kamili- Robert Kyagulanyi ) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki Nchini Uganda, hatimaye alipata nafasi ya kuzungumza hadharani baada ya “sintofahamu” yake na Serikali ya Nchi ya Uganda. Kama utakuwa unakumbuka vizuri, Bobi Wine aliingia katika Mtafaruku mkubwa na Vyombo vya Usalama pamoja na Serikali kiujumla kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kuanzishwa kwa vurugu na wafuasi wake katika kampeni za Uchaguzi Mdogo Nchini humo, hali iliyopelekewa kukamatwa na kuzuka kwa maandamando ya Wafuasi wake dhidi ya Serikali wakitaka awe Huru Katika hali…

Facebook Comments

Read More