MISS TANZANIA 2016/2018, Diane Flave kuhusu Project yake ya “DONDOSHA WEMBE”

KAMA utakuwa unakumbuka vizuri, aliyekuwa Miss Tanzania kwa mwaka 2016/2018, DIANE EDWARD LOI “Diane Flave”, aliwahi kuahidi kuwa Project yake ya “DONDOSHA WEMBE” ambayo ilikuwa ikikemea na kutoa elimu kuhusu “ukeketaji” itaanza kutumika rasmi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla Lakini baada ya muda kadhaa kupita, bado hakukuwa na majibu yoyote kuhusiana na project hiyo, jambo ambalo amelitolea ufafanuzi kuwa, alliamua kusimama kuendelea na project hiyo kutokana na baadhi ya vitu kutokukamilika Akifafanua vema kuhusu kutokuendelea kwa project hiyo ambayo ilitizamiwa kuelimisha na hata kuchangia katika kutokomeza ukatili huo ambao…

Facebook Comments

Read More