DJ KHALED: “Rihanna Aliponigusa Mara Ya Kwanza Begani, Nilihisi Kuchanganyikiwa”

SIO Mara ya Kwanza kusikia na Hata kuwaona Mastaa wakubwa Duniani kote wakikiri kuhisi “kupagawa” pale wanapoguswa ama kukutana na Mastaa wenzao ambao wamekuwa wakliwafuatilia mara kwa mara katika maisha yao. Hii Pia iliwahi kuthibitishwa na Rapa kutokea Nchini Marekani, Chance The Rapper, ambaye alijikuta akihisi kuchanganyikiwa baada ya Beyonce kumpa Busu wakati Rapper huyo akifanyiwa Mahojiano katika moja ya Tamasha Nchini Humo. Safari Hii, Dj Khaled amekiri wazi kuwa alihisi kurukwa na akili baada ya Rihanna kumgusa katika bega lake kwa mara ya kwanza, na hiyo ni kwa sababu…

Read More