EMINEM: “Huwa Nina-Google Mashairi Yangu”

RAPA Eminem a.k.a Slim Shaddy ni mmoja kati ya Wasanii wakongwe na wenye Heshima kubwa sana katika Muziki wa HIP HOP Ulimwenguni kote, ni hiyo ni kwa sababu ya Ubora wa Nyimbo zake na mashairi yenye “Ubabe” wa kutosha katika Soko la Muziki. Lakini kama hukuwahi kufahamu, Eminem ni msanii ambaye anakiri kuwa ameshafanya Nyimbo nyingi sana mpaka huwa inamlazimu ku-google Mashairi yake ili asije akafanya makosa ya kurudia mashairi ambayo amekwisha wahi kuyaandika katika nyimbo zake zilizopita. Eminem ambaye kwa hivi sasa anasumbua na Kwaju la “Godzilla” ameongeza kuwa,…

Read More