BOBI WINE : “Nimekuja Kuendeleza Nilipoishia…Nipo Tayari kufa kwa sababu ya Uhuru Wetu “

BOBI WINE Tayari Yupo Nchini Uganda na licha ya kwamba Jeshi la Polisi lilijitahidi kuweka ulinzi wa kutosha ili wafuasi wake wasiandamane katika mapokezi yake, bado kulikuwa na makundi ya watu ambao yaliwapa wakatik mgumu polisi pamoja na vyombo vya usalama Nchini humo Kuna vitu VITANO vya Msingi ambavyo tumevinyaka katika Siku ya jana ambayo “waganda” wengi waliiona kuwa siku ambayo “inadamshi” kulingana na hali halisi, lakini pia macho na masikio yote yalikuwa makini kujua ni kitu gani kitatokea. MATUMIZI YA “FIMBO” KWA WANACHI WALIOKIUKA Wananchi na Wafuasi ambao kwa…

Facebook Comments

Read More

Hatimaye Ex wa Kaligraph Jones, CASHY amempata Shujaa Mpya anayeifanya Roho yake Kuwa Mpya …Huyu Hapa !!!!

“MICASA SUCASA” ni moja kati ya “mkwaju” ambao ulitambulisha Rasmi mahaba mazito yaliyokuwepo baina ya Rappers wawili kutoka nchini Kenya, na hapa tunamzungumzia KALIGRAPH JONES “Papa Jones” pamoja na Bibie CASH Mahaba hayo yaliendelea kuchukua nafasi kubwa katika vyombo mbali mbali vya habari na hasa katika Mitandao ya kijamii kutokana na namna ambavyo walikuwa wakionekana kupendana na hata ukaribu wao kiujumla, kama mnavyojua mahaba yakinoga wazee wa kazi !!!! Lakini baada ya Muda kadhaa, hakukuwa tena na taarifa za kuzungumzia mahusiano yao ya kimapenzi, na hata Kaligraph alipokuwa akiulizwa kuhusu…

Facebook Comments

Read More

ROSA REE – ” Ukiridhika na Maisha yako, ndoto zako utabaki kuziota tu”

TANGU muda mrefu kidogo kumekuwa na changamoto kubwa ya kuwepo kwa Rappers wa Kike katika Industry ya muziki wa Kizazi kipya, kitu ambacho kimewafanya wasanii kadha wa kadha wa kike kujitutumua na hata kufanya vizuri katika Muziki wa Hip Hop. Wasanii kadhaa pia wa kike tumekuwa tukiwaona wakiendelea kujitokeza licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa ambazo wamekuwa wakizitaja mara kwa mara, kuwa ndizo zinazowavunja moyo katika kuendelea kufanya vizuri katika Soko la Muziki huu. Rapper Rosa Ree “the Godess” ni mmoja kati ya Rappers ambao wamekuja vizuri na kuendelea kuimarisha…

Facebook Comments

Read More

Ifahamu Sababu ya MADAM RITHA kutokuwabadilisha SALAMA JABIR na MASTER JAY katika Meza ya “Majaji” katika BSS Msimu wa 9

HATIMAYE Vijana wengi wenye vipaji katika Tasnia ya Muziki hapa nchini Tanzania watakuwa wameipokea kwa Furaha kubwa taarifa ya kurejea kwa mashindano ya BONGO STAR SEARCH (BSS) baada ya kutokuwepo kwa muda mrefu sasa Muandaaji wa Mashindano hayo ambaye pia ni Chief Judge, RITHA “Madam Ritha” PAULSEN akizungumza na waandshi wa habari katika uzinduzi wa Msimu mwingine, ameweka wazi kuwa aliamua kukipumzisha kipindi hicho kwa muda ili kutafakari namna nyingine mpya ya kukirejesha, sanjari na changamoto kadha wa kadha ambazo zilijitokeza Katika Msimu wa 9 wa BSS, wengi walitarajia pengine…

Facebook Comments

Read More