UTEUZI.

Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli, amemteua Mbunge wa Songea Mjini, Dr Damas Ndumbaro, kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akichukua nafasi ya Suzan Kolimba, ambaye uteuzi wake umetenguliwa.  

Read More