#DreamComeTrue: “Ahsante Jay Dee Kwa Kutimiza Ndoto Yangu”- JANJARO

KUPITIA akaunti yake ya Instagram, Msanii Dogo Janja a.k.a Janjaro atakuwa ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wametimiza ndoto zao kwa kufanya jambo na Mkongwe wa muziki wa kizazi Kipya Nchini Tanzania, Judith “Jay Dee” Wambura. Janjaro ambaye ameweka wazi kuwa hapo awali alikwa na Ndoto ya kumiliki Nyumba na Magari kama ilivyokuwa kwa Vijana wengine, hana budi kujivunia kuitimiza Ndoto yake ya kufanya Kazi na “Komando” ambaye n msanii wa Kike hapa Nchini mwenye heshima Kubwa Sana “Bahati mbaya sikubahatika kumaliza shule.. lakini nimekua ni mmoja wa vijana wanaotimiza…

Read More