Jonensia Rukyaa mwamuzi pekee toka Tanzania kuchezesha AFCON. .

Mwamuzi wa Tanzania Jonesia Rukyaa amechaguliwa kuchezesha Fainali za Afrika za Wanawake zitakazofanyika nchini Ghana. Rukya amechaguliwa Katika Orodha ya waamuzi wa katikati akiwa ni mtanzania pekee. Fainali hizo pia zitatumika kupata timu zitakazo shiriki kombe la dunia kwa upande wa wanawake litakalofanyika mwakani nchini Ufaransa. Na niwashindi watatu wa juu Ndio watakao shiriki fainali za kombe la dunia.

Read More