KIKONGWE mwenye Miaka 108 Hatimaye amepona Maambukizi ya Corona : “Nilipangiwa Kupona”

SYLVIA GOLDSHOLL alifanikiwa kukwepa Mishale Mingi hatarishi ikiwema “Mafua ya Hispania (Spanish Flu) ya Mwka 1918, Vita Kubwa Mbili za Dunia, Anguko la Kiuchumi Duniani na safari Hii amefanikiwa Kupona kabisa Maambukizi Ya Virusi vya Corona. Mwanamke huyo mwenye Umri wa Miaka 108 kutokea New Jersey Nchini Marekani, hivi sasa ni mwenye tabasamu mwanana akiwa na afya yake njema kabisa baada ya kuwa ni mmoja kati ya “Kikongwe zaidi” aliyepona maambukizi ya COVID 19 Bi. Goldsholl aliingia katika Historia ya kuwa na furaha zaidi mnbamo April 15 Baada ya kuruhusiwa…

Read More

ZITTO AMJIBU MAKONDA

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amemjibu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kufuatia kauli yake ya kuwapa saa 24 wabunge wote waliopo katika mkoa huo. Makonda amesema atakaye ruhusiwa ni yule mwenye kibali cha Spika. – “Mimi ni Mbunge wa Kigoma Mjini, nipo Dar sijakwenda Dodoma Bungeni sababu ninaamini kuwa Bunge lilipaswa kuahirishwa ili kupambana na Korona, sitakwenda Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hana Mamlaka yeyote ya kuniamulia niwe wapi katika Jamhuri ya Muungano” “Sitakwenda Dodoma, nitakaa Dar es Salaam kwa uhuru kabisa, najilinda dhidi…

Read More

WMO Wathibitisha Kuwa Viwango vya Joto Vinapanda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa duniani, WMO limesema ongezeko la viwango vya joto ni ishara ya wazi ya mabadiliko ya tabia-nchi ya muda mrefu, huku wakifafanua kuwa miaka minne iliyopita viwango vilikuwa vya kipekee. WMO katika taarifa imesema miaka katika ya 2015, 2016, 2017 na 2018 kumekuwa na Joto Kubwa na hiyo ni ishara ya wazi kuwa mabadiliko ya tabia-nchi yanaendelea. Akizungumzia mwenendo wa hali ya hewa, Katibu Mkuu wa WMO, Petteri Taalas amesema mwenendo wa muda mrefu ni muhimu kuliko uchunguzi wa mwaka mmoja mmoja na…

Read More