MAGAZETI YA LEO JULY 4, 2020

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MAGAZETI YA LEO JULY 3, 2020

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

#InstaChocho: “Mama Wawili, Mume Wa Tatu”-Esma Platnumz

HAKIKA hakuna ambaye hakutoa Neno “Hongera” kwa Esma Platnumz ambaye ni Dada Yake na Msanii Wa Bongo Fleva Nchini Tanzania, Diamond Platnumz, baada ya Kubaini kuwa hati maye amefunga Ndoa Tayari na anafurahia maisha hayo Mastaa Wengi sana Nchini tanzania katika Tasnia tofauti za Burudani, hawakusita kumpongeza katika Ukurasa wake wa Instagram baada ya Bibi Esma mwenyewe kudhihirisha kuwa tayari “Pilau” na “Vifijo” tayari vimeshahusika. Ingawa Wengi tulikuwa tukiyafahamu mahusiano yake na mzazi mwenzake “Petiti Man-Wakuache”, Mwanaume aliyefunga Naye ndoa ni mwingine kabisa ambaye wengi hawakudhani na wala hawakuwa wakimfahamu…

Facebook Comments

Read More

Rapper Jim Jones Achukizwa na Gharama Hii ya Toilet Papers alipoenda Super Market

NCHINI Marekani na baadhi ya Mataifa Mengine huko Ughaibuni, kumekuwa na malalamiko ya kupanda kwa Bei ya “Toilet Papers” katika Super Markets mbali mbali tangu kuwepo kwa maambukizi ya Virusi vya COVID 19 ambavyo husababisha Ugonjwa wa Corona. Katika Mataifa hayo, Baadhi ya Wananchi wamekuwa wakilalamikia sana Bei ya Toilet papers ambayo ilifikia USD 10 sawa na Tsh 23,160/- huku baadhi wakishindwa kabisa kufanya manunuzi ya Bidhaa hizo kwa ajili ya matumizi ya familia na hiyo ni kutokana na kipato chao. Rapper Mkongwe katika Soko la Muziki wa Hip Hop,…

Facebook Comments

Read More

BOBI WINE: “Ninachojivunia Kuhusu COVID-19, Imefungua Akili za Waganda Wengi Hasa Vijana”

UKIACHILIA mbali suala la Maambukizi ya Virusi ya COVID 19 kuathiri sehemu kadhaa ya Uchumi katika Mataifa mbali mbali ulimwenguni, kuna baadhi ya watu wanaamini kuwepo kwa Virusi hivyo ambavyo husababisha Ugonjwa wa Corona, kumeamsha akili za watu wengi na hata kuibua Maisha halisia ambayo hayakuwa yamezoeleka Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki Nchini Uganda , Joseph Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama “Bobi Wine“, ni mmoja kati ya Watu maarufu ambao wamekuwa wakiichukulia Covid 19 kama sehemu ya kukumbushana mambo ya msingi ambayo hatukuwa tukiyazingatia kabla ya kuwepo kwa Maambukizi ya…

Facebook Comments

Read More

MAGAZETI YA LEO JULY 2,2020

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MAGAZETI YA LEO JULY 1, 2020

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

NAIBU WAZIRI WA MADINI MH STANSLAUS NYONGO AMEMFUTA KAZI AFISA MADINI KWA KUFANYA BIASHARA KINYUME NA TARATIBU

Naibu waziri wa madini Mh Stanslaus Nyongo amemfuta kazi afisa madini aliyekua anasimamia soko la madini la la Tunduru mkoani Ruvuma Athman Masawe kwa kufanya biashara ya madini kinyume na taratibu na hivyo kuikosesha mapato serikali, Aidha kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amesema afisa huyo amekua akifanya kazi kwa mazoea Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

WAGOMBEA WA CCM UPANDE WA ZANZIBAR MSIUMIZANE

📻… “Niwaombe sana hasa wagombea wa CCM upande wa Zanzibar wawe waangalifu wasiumizane kwenye kunadi Sera zao maana kazi sio Urais tu. Hata kwenye Majimbo watia nia mtarogana bure na kuumizana bure atakayechaguliwa Mungu anamjua.”..“Tukigombana wakati wa kampeni tutapoteza Direction. Atakayechaguliwa wakati wa kampeni tumbebe na nafasi zipo nyingi za kuteua na hata sasa zipo kama Nne sijateua. Najiuliza nimteue nani? Muhimu ni tushike Dola kwanza.” ..“Tanzania ina umuhimu kuliko sisi na niwathibitishie mambo yanaenda vizuri sana kila mahali mambo yanafanyika.” –.. “Nchi hii ni tajiri. Nataka niwaambie ukweli ni…

Facebook Comments

Read More

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ARUDISHA FOMU DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Fomu aliyorudisha ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu anae mtazama ni Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More