KAULI YA CHADEMA KUHUSU VIONGOZI WAO KUHAMIA CCM

Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Leo September 12 2018 kimezungumza na waandishi wa habari na kuzungumzia mambo mbali mbali yanayoendelea kujitokeza hapa nchini. Akizungumza katika mkutano huo Katibu mkuu wa CHADEMA  Dr Vicent Mashinji, ametolea ufafanuzi   mambo mbali mbali ikiwemo Ziara ya Mh Raisi Magufuli kanda ya ziwa, Uchaguzi mdogo pamoja na  swala la Viongozi wa Chadema kuhamia Ccm. Katibu mkuu wa Chadema (Dr Vicent Mashinji) Mashinji amesema chama cha Chadema hakina muda wa kumkataza mtu kuhama chama kwasababu wanaamini katika uhuru wa kidemokrasia. Bonyeza Play Kumsikiliza. Facebook…

Facebook Comments

Read More