ZITTO AMJIBU MAKONDA

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amemjibu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kufuatia kauli yake ya kuwapa saa 24 wabunge wote waliopo katika mkoa huo. Makonda amesema atakaye ruhusiwa ni yule mwenye kibali cha Spika. – “Mimi ni Mbunge wa Kigoma Mjini, nipo Dar sijakwenda Dodoma Bungeni sababu ninaamini kuwa Bunge lilipaswa kuahirishwa ili kupambana na Korona, sitakwenda Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hana Mamlaka yeyote ya kuniamulia niwe wapi katika Jamhuri ya Muungano” “Sitakwenda Dodoma, nitakaa Dar es Salaam kwa uhuru kabisa, najilinda dhidi…

Read More

WALEVI WATATIZA KUFUNGULIWA KWA MIGAHAWA KENYA

Katibu wa Baraza la Mawaziri la Afya Mutahi Kagwe anasema serikali inawasiwasi na tabia zinazoonyeshwa na Wakenya wengine huku idadi ya maambukizo ya Covid-19 nchini inaendelea kuongezeka hadi siku. Katika mkutano na waandishi wa habari Jumanne, Mutahi alisema kwamba Wakenya wengine walikuwa wakitumia vibaya kufunguliwa upya hivi karibuni kwa migahawa na migahawa kuruhusiwa watu kunywa pombe. Alidokeza kwamba kuna wapenzi wa pombe ambao wamekuwa wakiruka kutoka kwenye mgahawa mmoja kwenda kwa mwingine wakichukua “soseji moja na bia mbili” hadi wamekunywa vya kutosha. Hii inakuja baada ya serikali Aprili 27 kuruhusu…

Read More

CHINA YATUMIA ROBOTI KUHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA

Katika kile kinachodaiwa ni kuhakikisha kunadhibiiwa kabia uwezekano wa maambukizi ya Corona, nchi ya Cina imeamua kutumia roboti kusikiliza na kuwahudumia wagonjwa wa maradhi ya Covid 19. Wafanyikazi wa afya kwa sasa wanapata ahueni a kupumzika kutokana na uwepo wa roboti hizo ambazo hutembea kwa umeme na kumfikia mgonjwa kisha kuwasilisha taarifa za huduma anayoihitaji mgonjwa. Keenon Robotic Co, kampuni iliyokuwa na makao yake huko Shanghai, ilipeleka roboti 16 za mfano zilizopewa jina la “little peanut” katika hospitali ya Hangzhou. Watumiaji wa Twitter walishangazwa na maendeleo ya hivi karibuni katika…

Read More

WANAJESHI 9 WA UGANDA WAWEKWA KARANTINI

Askari tisa wa Kikosi cha Ulinzi cha Wananchi wa Uganda (UPDF) kilichopo nchini Somali wametengwa baada ya kugundulika kwa askari mmoja kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Kwa mujibu wa gazeti la Daily monitor la nchi hiyo siku ya Jumatano jioni, UPDF ilithibitisha kuwa askari wao huyo aliyepo katika majeshi ya muungano wa Jumuiya ya Afrika nchini Somalia (AMISOM) alipimwa na kuthibitika kuwa na ugonjwa wa COVID-19 na alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu. UPDF imesema kwamba askari huyo alionyesha kuwa na dalili za mafua na kikohozi na kuwa anaendelea vizuri…

Read More

KOCHA WA ZAMANI WA TOTTENHAM ATAMANI KURUDI KLABUNI HAPO.

Meneja wa zamani wa timu ya soka ya Tottenham ya nchini Uingereza Mauricio Pochettino amesema kuwa ana imani siku moja atarejea kwenye klabu yake hiyo ya zamani ambayo aliachana nayo mwezi November 2019. Kocha huyo raia wa Argentina imeripotiwa kuwa ni miongoni mwa makocha waliowahi kufanya vizuri katika klabu hiyo hasa ikizingatiwa kuwa mwaka jana alifanikiwa kuifikisha katika fainali ya Ligi ya Mabingwa barani ulaya ambapo alipoteza kombe hilo dhidi ya Liver pool. Kwa sasa kocha huyo anatajwa kuwa katika malengo ya wamiliki wapya wa timu ya New Castle wanaotajwa…

Read More