SABABU ZA ISCO KUSUSIA KITAMBAA CHA UNAHODHA HIZI HAPA.

Isco alikataa kitambaa cha unahodha wakutosha Marcelo anatolewa kwenda bechi katika mchezo ambao Real Madrid walishangazwa baada ya kucharazwa nyumbani na CSKA Moscow katika michuano ya Uefa champions ligi. “Sijawasiliana kwa nn Isco alikataa kitambaa cha Unahodha” maneno ya Marcelo. “Nilijaribu kunipatia kitambaa cha unahodha wakati naenda bechi kumpisha Carvajal lakini alikataa” Marcelo beki wa pembeni ambaye alishuhudia klabu yake ikipigwa goli 3-0, anasema badala ya kukubali kitambaa Isco akamwambia mvalishe Carvajal na hakujua sababu ilikuwa ni Nilijaribu.     Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

BARCELONA INAWEZA “KUMUIBA” KANE, KAMA ILIVYOTOKEA KWA RONALDO.

Christiano Ronaldo alichukuliwa toka ligi kuu ya soka nchini England na kuhamishiwa La Liga ya pale Spain sasa kocha Maurcio Pochettino anawaza hilo pia huwenda likatokea kwa Harry Kane. Maurcio Pochettino ansema Barcelona ama klabu nyingine itamuiba Harry Kane kutoka Tottenham. Kane amekuwa akiwindwa na Barcelona kwa kipindi kirefu huku klabu hiyo ikitafuta mchezaji atakaye kuwa mbadala wa muda mrefu wa Luis Suarez ambaye umri unamtupa mkono. Kocha wa Barcelona Ernesto Valverde amemzungumzia Kane kama mchezaji hatari kuelekea game yao leo katika michuano ya klabu bingwa Barani Ulaya mchezo utakao…

Facebook Comments

Read More

GOMEZ AFATA MKUMBO WA KINA SALAH NA MANE KATIKA HILI.

Baada ya kushuhudia siku kadhaa zilizopita mastaa wa klabu ya vijogoo wa jiji Liverpool wakiongeza mkataba kusalia kwenye klabu hiyo leo Joe Gomez kaongeza mkataba wa kusalia klabu hiyo kwa miaka mitano na nusu. Joe Gomez ambaye ni beki sasa atabaki Liverpool mpaka mwaka 2024. Gomez anaungana na mastar wengine kama Bob Firminho, Mo Salah na Sadio Mane ambao tayari washaongeza mikataba ya miaka mitano kila mmoja kusalia Anfield. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

UNAI EMERY AMWAGIA SIFA DE GEA KUIKOA UNITED NA KIPIGO.

Kocha wa klabu ya Arsenal Unai Emery ameweka wazi kwamba kikosi chake kilikosa furaha kushindwa kuifunga Manchester United kwenye Premier League siku ya jumatano usiku. Huwenda ungekuwa ushindi wa kwanza pale Old Trafford tangu mwaka 2006 kwa klabu ya The gunners lakini goli la Jesse Lingard likaifanikisha Man U kupata sare nyumbani. ”kwenye kipind cha pili, wachezaji wetu walicheza kutafuta ushindi, na nnafikiri tulikuwa karibu kupata goli la tatu lakini De Gea aliokoa mara mbili au tatu michomo ya maana”       Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

SOUTHAMPTON YAMPATA KOCHA MPYA MWENYE UZOEFU NA SOKA LA UJERUMANI.

Ralph Hasenhuttl amechaguliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Southampton amayo kwa sasa ipo kwenye hali mbaya katika ligi kuu soka nchini England na amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu. Kocha huyo wa zamani wa RB Leipzig anachukua mikoba ya Mark Hughes ambaye alitimuliwa siku ya jumatatu akiiacha klabu hiyo ya watakatifu ikiwa nafasi ya 18 kwenye msimamo. Mbali na kuifudisha RB Leipzig, kocha Hasenhuttl amewahi kuvifundisha vilabu vya SpVgg Unterhaching na Ingolstadt. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MIAKA 10 MODRIC AWEKA HISTORIA BALLON d’0r.

Luka Modric ameshinda tuzo ya Ballon d’Or 2018 akimpiku Christiano Ronaldo na Antoine Griezman huku Lionel Messi akikamata nafasi ya tano. Ni mara ya kwanza ndani ya miaka 10 kumkosa Ronaldo na Messi katika kuchukua tuzo hii yenye heshima kubwa katika soka inayotolewa na chama cha soka pale nchini Ufaransa. Harry Kane ni muingereza pekee kwenye orodha fupi ya wachezaji 30 bora wa Ballon d’Or akishika nafasi ya 10 baada ya kuchukua tuzo ya ufungaji bora katika michuano ya kombe la dunia 2018. Mwaka 2018 , Modric alishinda kombe la…

Facebook Comments

Read More

MODRIC KUUA UTAWALA WA MIAKA 10 WA CR7 NA LA PULGA KWENYE Ballon d’Or LEO?

Muda wa kusubiri unaelekea ukingoni sasa na mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2018 atawekwa hadharani baadae usiku waleo kwenye hafla itakayofanyika kwenye mji mkuu wa Ufaransa Paris. Tuzo zenye heshima kubwa katika soka duniani zitatolewa katika vipengele tofauti tofauti kwa wanaume na kwa wanawake . Watawala wa tuzo ya mchezaji bora wakiume duniani Ballon d’Or ambao ni Lionel Messi na Christiano Ronaldo watakumbwa na upinzani mkali katika kuwania tuzo hiyo kutokana na uwepo wa mchezaji anayepewa nafasi kubwa kuchukua tuzo hiyo Luka Modric ambaye anaonekana kuua utawala nyota hao…

Facebook Comments

Read More

Cr7 LIGI NYINGINE REKODI NYINGINE, “AVUNJA REKODI YA 1957”.

Huu ni msimu wa kwanza kwenye Serie A, kwa Nyota Christiano Ronaldo tangu ajiunge na Juventus akitokea Real Madrid lakini ameonekana Kufanya vyema mbali na Ugeni wake kwenye Ligi. Baada ya kuweka kambani Jumamosi kwenye mechi dhidi ya Fiorentina , Cristiano Ronaldo ameweza kufikia rekodi iliyokuwepo tangu mwaka 1957 . Tangu nyota wa zamani wa kimataifa wa Wales na klabu ya Juventus John Charles kuweza kufunga magoli 10 katika mechi 14 za kwanza hakuna mchezaji mwingine aliyeweza kufanya hivyo mpaka msimu huu CR7 kufanya hivyo. Na sasa Ronaldo kwenye chati…

Facebook Comments

Read More

FAINALI YA KLABU BINGWA AMERICA YA KUSINI KUCHEZWA MADRID RAISI (CONMEBOL) AWATAKA MASHABIKI WAJIHESHIMU.

Raisi wa shirikisho la kandanda Amerika ya kusini (CONMEBOL)  Alejandro Domiguez amewataka Mashabiki kujieheshimu Kuelekea fainali ya pili ya (COPA LIBERTADORES) michuano ya Klabu bingwa barani America ya kusini unapangwa kupigwa jijini Madrid. Boca Juniors na River Plate wataumana katika Uwanja wa Santiago Bernabeu siku ya December 9 kumalizia mechi ya marudiano ambapo mechi ya mwanzo ilimalizika kwa sare ya 2-2. Mchezo huo awali ulikuwa uchezwe nyumbani kwa River Plate pale El Monumental lakini mechi ikaahirishwa baada ya basi la Boca kuvamiwa njiani likielekea wa uwanjani. Sasa mchezo huo utachezwa…

Facebook Comments

Read More

BEKI HILI KUTOKA IVORY COAST LATUA RASMI MSIMBAZI.

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba wamethitisha kunasa saini beki wa kushoto kutoka Ivory Coast ajulikanaye kama Zana Coulbaly.   Taarifa kupitia ukurasa wa Instagram wa Simba imesomeka “Tunapenda kuwatangazia kwamba beki Zana Coulibaly kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast leo atawasili nchini kwa ajili kukamilisha taratibu za mwisho kujiunga na timu yetu ili kuziba pengo la beki Shomari Kapombe ambaye siku za karibuni alipata majeraha. #SSC #NguvuMoja” Simba ni Klabu ambayo ina michuano mingi yakushiriki msimu huu ikiwemo michuano ya Klabu bingwa barani Afrika hivyo kinahitajika kikosi kipana cha…

Facebook Comments

Read More