Maguire ni kama kumwambia Morinho baki na timu yako.

Harry Maguire, Kitanzini. Beki wa kati wa Leicester City Harry Maguire amesaini mkataba mpya wa miaka mitano utakaombakisha King Power hadi mwaka 2023. Taarifa hizi zimefifisha tetesi za yeye kuhamia vilabu vingine hasa Manchester United iliyokuwa inamuhitaji dirisha kubwa la usajili lililopita. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More