#KumekuchaMitandaoni: Hivi Ndivyo Ilivyo Mitandaoni Baada ya Rais Magufuli Kuruhusu Michezo Kurejea !

KATIKA Furaha ambayo wanayo watanzania Wengi hasa wadau wa Michezo na Mashabiki, ni baada ya siku ya Leo ambapo Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli kuagiza Mamlaka Husika na Masuala ya Michezo kuarejesha Ligi mbali mbali za Michezo sambamba na michezo Mingine kuanzia Juni 1. Kauli hiyo imetolewa Mapema Leo wakati rais magufuli alipokuwa akiapisha Viongozi Walioteliwa, Katika Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma, sambamba na kuruhusu Vyuo vikuu na Kidato cha Sita kurejea katika Masomo yao. Sasa, kunako Mitandao mbali mbali ya Kijamii, Wadau…

Read More