Mjapan Amkatalia Serena Williams Kumpa zawadi mwanawe.

Mwanadada Naomi Osaka Usiku wa kuamkia Leo amekuwa mwanamke wa Kwanza toka Japan  kutwaa taji la Lenye hadhi ya Grandslam katika michuano ya tenes baada ya kupata ushindi wa seti mbili za 6-2,6-4 dhidi ya mmarekani Serena Williams na kutwaa taji la US Open.        Osaka akishangilia ushindi wake.    Tamaki Osaka akimpongeza mwanae.  Ni mara ya kwanza Osaka kutinga fainali ya Grandslam na kufanikiwa kumcharaza Williams ambaye pengine taji hili kubwa linge kuwa zawadi kwa mwanawe Olmpiya ambaye katimiza Mwaka mmoja hivi karibuni.   Facebook Comments

Facebook Comments

Read More