Furaha ya Odinga kukutana na Kufuor.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Amolo Odinga ameonyesha Furaha yake kukutana na Rais wa zamani wa Ghana John Kufuor mjini Accra jana jioni kuelekea katika mazishi ya Annan Leo. Odinga kushoto kulia ni Kufuor.  Odinga kupitia mtandao wake wa Twitter ametupia picha inayomuonesha yeye na Kufuor na kuandika ujumbe wa furaha yake hiyo. Leo viongozi mbalimbali na maelfu ya watu wanajumuika na familia ya marehemu Koffi Annani pale Ghana  katika kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele Kiongozi huyo wa zamani wa umoja wa mataifa. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More