PLIES: “Nyie Mnaomiliki Bastola, Acheni Kujiona Polisi…..”

RAPA Algernod Lanier Washington maarufu kama “PLIES” kutokea Nchini Marekani ameamu akuwatolea uvivu wale wote ambao wanamiliki Silaha za Bunduki aina ya Bastola kwa “kujikuta” kuwa wao ndio kila kitu na wanaweza “kumzingua” yeyote yle ambaye wanakutana naye mbele Yao !!! Hit Maker huyo wa Mkwaju wa “Medicine” ambao amemshirikisha Bibie Keri Hilson na kuachiwa Rasmi Mwaka 2009, amezungumza hayo kwa jazba kubwa sana huku akionesha hali ya kukwazikana watu wa aina hiyo ambao nidhamu yao mara Nyingi huwa Chini kiasi fulani. Kupitia Mtandao wake wa Instagram, Plies amedai kuwa,mara…

Read More