Breaking News: Baba Mzazi wa Mbunge Profesa Jay Afariki dunia.

Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka Mikumi ni kuhusiana na Kifo cha Baba yake na Mbunge wa jimbo la Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule Maarufu kama Profesa jay ambacho kimetokea katika hospitali ya St Kizito iliyopo Mikumi Mkoani Morogoro. Profesa jay amethibitisha Taarifa hizo kwa  njia ya Simu, akiwa Jijini Dodoma katika vikao vya Bunge vinavyoendelea.         Facebook Comments

Facebook Comments

Read More