SWIZZ BEATZ: “Wasanii wa Sasa Wa Hip Hop wanatakiwa Kulipa Kodi kwa Waliofungua Njia”

Muandaaji wa Muziki wa Hip Hop Nchini Marekani, Kasseem Dean “Swizz Beatz” anaamini huu ni muda muafaka kwa Wasanii mbali mbali wa Hip Hop Nchini Marekani na hata ulimwenguni kote, kuanza kurudisha Matunda na fadhila kwa Wakongwe wa Muziki huo ambao wameufikisha Hapa Ulipo hivi sasa Swizz ambaye pia no mmoja kati ya Rappers wenye balaa kubwa kila wanapoachia “mikwaju” yao, aliyasema hayo kupitia Instagram Live alipokuwa akizungumza na Mkongwe mwenzake kwenye soko la Hip Hop, Joe Budden. Hit Maker huyo wa “Money In The Bank” ameongeza kuwa huu ni…

Read More