#MtotoWaKishua: Rick Ross Amnunulia Binti Yake Gari Hili La Kifahari Masomo Yake.

UKITIZAMA Kwenye Instagram Story ya Rapa Kutokea Nchini Marekani, William Leonard Roberts II maarufu kama “Rick Ross”, utakutana na Video Clip ambayo inaonesha Zawadi kwa Binti yake wa Kike anayeitwa Toie Roberts (18) ikiwasilishwa Nyumbani kwake, huku akitamka kuwa hiiyo ndiyo tafsiri halisi ya Utajiri na Sura ya Utajiri kwa wale wasioelewa tafsiri ya Utajiri. Rozay ambaye alizaliwa Januari 28,1976 aliamua kumnunulia Binti yake Huyo Gari la kifahari aina ya MERCEDES BENZ G CLASS 2020 maarufu kama G Wagon g63 2020 baada ya kuhitimu masomo yake ya High School na…

Read More