TRINA: “Kama Haujafikia Hadhi Yangu, Usithubutu Kunizungumzia”

KATIKA Wasanii wa kike Ulimwenguni ambao Miaka ya 2010 walikuwa ni Sehemu ya Gumzo katika Muziki wa Hip Hop, basi huwezi kuacha kumzungumzia Bibie Katrina Laverne Taylor Maarufu kama “Trina” ambaye alifanya vema sana na Track yake ya “Million Dollar Girl” aliokuwa amemshirikisha Keri Hilson na Diddy-Dirty Money Sasa, Trina ambaye kwa hivi sasa amejikita zaidi katika Vipindi vya Televisheni mbali mbali ikiwemo LoVE & HIP HOP MIAMI, ameamua kuwatlea “uvivu” watu wote hasa wasanii wa kike Nchini Marekani ambao wamekuwa “wakimchukulia Kinyonge” na kudiriki kumzungumzia kuwa hivi sasa hana…

Read More