Madrid waanza Vyema, Ronaldo aanza na kilio..

Real Madrid baada ya misimu mitatu mfululizo kufanya vizuri UEFA wakiwa na Zidane na Ronaldo leo wameanza kampeni ya kutetea taji kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya AS Roma. Isco, Gareth Bale na jezi namba 7 mpya Mariano Diaz ndio wamepeleka kilio jijini Rome. Kwa upande wa Juventus wanashinda 2-0 dhidi ya Valencia ila Ronaldo hakumaliza mchezo akitoka na kilio dakika ya 29 baada ya kumparamia beki wa Valencia Murillo na kounekana kama kampiga kichwani. Ronaldo alilia baada ya kuona kama ndoto zake za kupachika magoli zimekatishwa mpinzani wake Lionel…

Facebook Comments

Read More

“Waandishi mkome kuwasakama Wachezaji wangu” Pochettino.

Mauricio Pochettino amewashutumu waandishi wa habari kwa kuwakosea heshima wachezaji wake baada ya Tottenham kuanza kampeni yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kichapo cha 2-1 dhidi ya Inter Milan.  Ni kwa mara ya kwanza Tottenham kupoteza mechi tatu mfululizo chini ya Pochettino ambaye aliamua kuwaacha nyumbani Kieran Trippier na Toby Alderweireld kwa sababu za ‘ Kiufundi ‘ Kocha huyo alipoulizwa kama anajutia kutosafiri na wachezaji hao wawili , Pochettino alisema. ” Dhidi ya Watford na dhidi ya Liverpool walikuwa uwanjani , aisee swali gani hilo, swali rahisi eehh ?…

Facebook Comments

Read More

Mabingwa na wale Alhamisi UEFA wanakuja wengine.

UEFA wana mpango wa kuongeza mashindano ya tatu ya ngazi ya vilabu barani Ulaya , yakiambatana na Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi kuanzia 2021. Mkuu wa Kitengo cha mashindano wa UEFA Andrea Agnelli amesema,” Taa ya kijani imeshakubaliwa ” bado kuthibitishwa tu. Alikuwa akiongea katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Vilabu vya Ulaya nchini Croatia. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More