Enrique Apata ushindi wa kwanza Wembley.

Magoli ya Saul na Rodrigo Moreno yametosha kumpa ushindi wa kwanza kocha Luis Enrique ndani ya kikosi chake cha Hispania baada ya kuifunga Uingereza 2-1 Usiku wa kuamkia leo. Huo ni miongoni mwa Michezo ya ligi ya mataifa ya ulaya yani UEFA NATIONS LEGUE inayoendelea kushika kasi ulaya kwa Sasa.   Beki Luke Shaw Akiwa chini baada yakuumia kicwani wakati wakuwania mpira na Daniel carvajal.  Marcus Rashford ndio mfungaji wa goli pekee la Uingereza ndani ya dimba la Wembley Stadium ulipochezwa mchezo huo. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More