Top Stories

YOUNG SPIT KUUPELEKA MUZIKI WA BURUNDI DUNIANI

Young Spit Ni Msanii Mwenye Asili Ya Nchini Burundi Ambaye Anafanya Muziki Wa Hiphop Na Ni Moja Kati Ya Msanii Kinda Ambaye Amevutiwa Na Wasanii Wengi Waliofanikiwa Katika Safu Ya Muziki Wa Miondoko Ya Kufoka Yaani Hip Hop Duniani Kote. Licha Ya Young Spit Kuwa Na Asili Ya Nchini Burundi Lakini Msanii Huyo Ameamua Kuchukua Uraia Wa Marekani Huku Akiwa Anaipeperusha Bendera Ya Kule Alipozaliwa Nazungumzia Nchini Burundi. Album Yake Ya Kwanza Ilitoka Mnamo Mwaka 2012 Na Album Hiyo Ilikuwa Na Nyimbo  Kama Vile  A Million Dollar Guy,Stunt Hard Na…

Read More

CITY TYCOON :MSANII KUTOKA UGANDA MWENYE NDOTO YA KUMFIKIA MEEK MILL.

City Tycoon Ni Moja Ya Msaani Wa Kizazi Kipya Kutoka Nchini Uganda Ambaye Makazi Yake Huko Nchini Marekani Ambapo Ndio Ameamua Kufanya Shughuli Zake Za Kimuziki. City Tycoon Mpaka Kuamua Kufanya Muziki Moja Ya Watu Walimvutia Zaidi Ni Pamoja Na Rapa Meek Mill Ambaye Ni Msanii Anayemkubali Sana Kutoka Nchini Marekani. Lakini Pia City Tycoon Ameanza Rasmi Kuwa Na Msimamo Katika Muziki Wake Mwanzoni Mwa Mwaka Huu Baada Ya Kumaliza Masomo Yake Huku Wakati Mpaka Sasa Msanii Huyo Ana Nyimbo Tatu Alizochia Huku Akiwa Amefanya Remex Ya Wimbo Wa Harmonize…

Read More

Manyoni (Singida) Mkinichagua Vijiji 2600 nitakamilisha kuviwekea umeme

Mgombea Urais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi 9 (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa Rais atahakikisha anakamilisha Vijiji 2600 vinapatiwa umeme ili kumlika maisha ya watanzania. Hayo ameyazungumza Wilayani Manyonyi wakati akielekea katika mkutano wa kuomba kura mkoani Singida ili kuteuliwa  kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Lengo letu ni kuhakikisha nchi yetu inakuwa ya kisasa ambavyo tunataka watanzania kutoka katika umasikini kwenda katika maisha mazuri ya kila siku” JPM “Hivyo tusirudi nyuma wanamanyoni na watanzania wote kwa jumla, nipeni awamu nyingine…

Read More

Rais Magufuli kumpa kazi Lissu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akiwa kwenye kampeni Mkoani Singida amemuahidi kazi ndogo mgombea Urais kutokea Singida. “Ninawaambia ndugu zangu wa Ikungi hatuchagui sura bali tunachagua maendeleo, najua kuna mgombea anatokea hapa, mwambieni tu, tutampa kura Magufuli yeye tutampa kazi ndogo ndogo, si lazima wote tuwe Rais, mwambieni nimesema nitampa kazi” JPM

Read More

Chama tawala Guinea chasema Conde atagombea muhula wa tatu

Chama tawala nchini Guinea kimethibitisha uvumi wa miezi mingi kuwa Rais Alpha Conde ambaye ana umri wa miaka 82 atagombea muhula wa tatu madarakani, uwezekano ambao ulikuwa tayari umechochea maandamano makubwa. Habari hizo zimekuja baada ya Conde kufanikisha mageuzi ya katiba mwezi Machi ambayo wahakiki walihoji kuwa yaliundwa kumuwezesha kugombea tena katika uchaguzi wa Oktoba 18. Taarifa ya chama cha Rally of Guinean People – RPG imesema Conde atakuwa mgombea katika uchaguzi huo. Chama hicho kilimteuwa rasmi mwezi Agosti kugombea, lakini Conde hakuwa ametoa jibu rasmi. Badala yake, aliwaambia wajumbe…

Read More

Macron yuko Lebanon, atoa wito wa kuundwa haraka serikali mpya

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametoa wito wa kuundwa haraka serikali mpya ya Lebanon kufuatia kuteuliwa kwa waziri mkuu mpya. Akizungumza baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beirut, Macron alisema orodha ya maafisa wa serikali mpya inapaswa kutengenezwa haraka iwezekanavyo ili kuinusuru nchi hiyo, ambayo inaendelea kukumbwa na athari za mlipuko mbaya zaidi wa Agosti 4 na kuporomoka kwa uchumi. Ni ziara ya pili ya Macron nchini humo ya kushinikiza haja ya kuufanyia mabadiliko mfumo tata wa kisiasa nchini Lebanon wa misingi ya kidini, tangu mlipuko huo mkubwa…

Read More

Rais Magufuli Awaomba Kura Bahi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na mamia ya wananchi wakati akiwasili  wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza toka azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais “Sikutegemea kama ningekuta watu wengi hapa Bahi, leo nina mikutano mingi sana, ningependa sana nikae hapa kwa masaa mengi lakini nimeona maendeleo mliyonayo, miaka mitano iliyopita nilipita nikawaomba kura kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kweli” moja ya nukuu kutoka kwa Rais Magufuli ambaye ni Mgombea…

Read More