Huko Beverly Hills Jumanne hii Jeniffer lopez alionekana akiandamana na mwanamke ambaye anaonekana kuwa Rafiki wa muda mrefu, Ela . . .
Kutoka kushinda tuzo Kadhaa, Kutajwa katika Tuzo za Tanzania Music Awards TMA 2022, Tuzo za Kimaraifa Zikomo Awards 2023 Toka Nchini Z . . .
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu mlimbwende wa mitindo kutoka nchini marekani hailey Bieber kutangaza kuwa na ujauzito ambao wanatarajia . . .
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza namna Komasava ya Diamond na Hakuna Matata ya Marioo z . . .
Aliyekuwa Rais wa Gabon, Ali Bongo na wanawe wawili, Jalil na Bilal wamegoma kula wakilalamikia madai ya kufanyiwa vitendo vya mateso na uka . . .
Marekani imesema makampuni hayo yalijaribu kukwepa vikwazo katika mpango ambao unaweza kuondoa dola bilioni 1.5Wizara ya fedha ya Marekani s . . .
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao kat . . .
TATIZO la harufu mbaya mdomoni au halitosis, laweza kusababishwa na bakteria ya kinywani. Yaweza kuwa pia kutokana na maradhi ya ufizi . . .
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema zaidi ya wanachama 1,000 wa kundi la Hamas wanapokea matibabu nchini Uturuki.Rais Erdogan . . .
Aliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr Peter Mathuki anatarajiwa kuhojiwa na Kamati ya sheria, Haki, na Hadhi y . . .
Mshambulaiji kutoka nchini Ufaransa Kylian Mbappe atalazimika kupunguza sehemu kubwa ya mshahara wake ili kufanikisha safari ya kutua kwa Ma . . .
Kampuni moja inayotengeneza mkate maarufu nchini Japani imetoa agizo la kurejeshwa kwa mikate elfu kadhaa na wateja kurejeshewa pesa zao baa . . .
Mask Queen DJ Bella, mvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mbio ndefu zaidi za tamasha la moja kwa moja, ametangaza mipango ya kutengeneza . . .
Siku tatu baada ya kutangazwa kwa matokeo rasmi ya muda ya uchaguzi wa urais wa Chad na ushindi katika duru ya kwanza ya rais wa mpito, Maha . . .
Watu 29 wameokolewa wakiwa hai hadi sasa. Timu za uokoaji zimekuwa zikifanya kazi bila kuchoka tangu wakati huo.Idadi ya vifo kutokana na ku . . .
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefanya mabadiliko na kumuondoa Waziri wa ulinzi, lkjaziri Sergei Shoigu ikiwa ni sehemu ya kupanga safu yake . . .
Richard Slayman kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo ya Nguruwe amefariki dunia hii leo Jumapili Mei 12, 2024.Kwa mujibu wa BBC S . . .
Tume ya uchaguzi huko Chad lilisema Alhamisi kuwa Rais wa mpito Mahamat Idriss Deby alishinda uchaguzi wa urais wa Mei 6 kwa zaidi ya asilim . . .
Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fat . . .
Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo na Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikos . . .
Wanaharakati nchini Uganda pamoja na wanasiasa nchini humo, wamewakosoa maofisa kadhaa wa juu wa Serikali ya Uingereza, kwa kile wamesema up . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alielezea kuwa ni uhaini kwa hatua ya tangazo la kampeni la chama cha upinzani ambalo linaonyesha bend . . .
Serikali kupitia Wizara ya Madini, inakusudia kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini, kuwawezesha upatikanaj . . .
Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda leo, amesema ili kuwezesha na kuimarisha huduma ya utoaji na upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elim . . .
Washirika wa Israeli wamekuwa wakionya dhidi ya oparesheni zake katika eneo la Rafah lenye idadi ya raia wa Palestina zadi ya milioni moja w . . .
Nyota wa Chelsea, Thiago Silva mwenye umri wa miaka 39 atajiunga tena na klabu ya Fluminese ya kwao Brazil.Chelsea itamruhusu kujiunga na kl . . .
Mchezaji kutoka DR Congo Makuntima Kisombe Guylain ameiwekea kigingi klabu ya Tabora United kufanya usajili, baada ya kushinda kesi ya madai . . .
Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi, ameiomba serikali kwamba ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner inayotarajiwa kuwasili nchini mw . . .
Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Jumanne kama rais wa Urusi kwa muhula wa tano, ambapo yuko mamlakani kwa muda mrefu bila kupingwa l . . .
MAREKANI yafanyia Majaribio drone yake ya majini inayofanana na Samaki ‘Manta Ray’ . . .
Unaweza kusema ndani ya Simba eneo la beki wa kati mwenye namba yake yupo njiani kutua kikosini hapo baada ya klabu hiyo kufikia dau linalot . . .
Chama tawala cha Rais wa Togo Faure Gnassingbe kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge, maafisa wamesema, na kumruhusu kiongoz . . .
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili 2024, kwenye NBC Premier League huku kocha w . . .
Kilimo ni moja ya shughuli ya Mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara inayoweza . . .
Mabadiliko Mfumo wa elimu yametajwa kuwa ni chachu katika kuchangia, kumaliza au kupunguza rushwa ya ngono ambayo imekuwa ikisababisha matat . . .
Ufaransa inakadiria kuwa wanajeshi 150,000 wa Urusi wameuawa tangu taifa hilo lilipoivamia Ukraine.Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Steph . . .
Wakati mwelekeo na matokeo ya uchaguzi wa Aprili 29 nchini Togo yakitangazwa, upinzani na hasa Chama cha Dynamics for the Majority of the Pe . . .
Mgombea anayaetarajiwa kuwa mteule wa urais wa kupitia chama cha Republican Donald Trump anasema akichaguliwa atarejesha tena marufuku ya ku . . .
Dunia imebeba Mengi sana ila mimi nimekubali kubebwa nawe kipenzi changu, kwani wewe ndiye Dunia yangu, chochote wachukue lakini waniachie w . . .
Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amewataka watumishi wa umma ndani ya Mkoa huo kutazama mafao yao kama yanapelekwa kwenye mfuko husika na k . . .