Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika sekta ya nishati unaingia hatua mpya, huku juhudi zikielekezwa zaidi katika kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi na teknolojia za kisasa za uzalishaji umeme. . . .
Serikali imesisitiza kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatoa kipaumbele cha pekee kwa ushiriki wa vijana katika maendeleo, kwa lengo la kuinua vipaji, uwezo, na ari yao katika kufanikisha ukuaji . . .
Ulezi (kwa Kiingereza: Finger Millet) ni aina ya nafaka ndogo inayolimwa sana katika maeneo yenye ukame au nyanda za juu.Virutubisho vya Juu Una kiasi kikubwa cha madini ya kalsiamu (calcium) kwa . . .
Bei ya mafuta imeripotiwa kupanda tena kwenye soko la dunia kutokana na athari za moja kwa moja za vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran, ambavyo leo vimeingia siku yake ya 32.Mapem . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga kunatarajiwa kuchochea shughuli za kibiashara na uwekezaji, hatua itakayosaidia kuimaris . . .
Mahitaji ya nyama katika soko la nje ni makubwa kuliko uwezo wa uzalishaji hapa nchini.Taarifa ya Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania, Tanzania Meat Board (TMB) Dkt. Daniel Mushi inasema masoko mengi ya . . .
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kivutio cha kimataifa cha uwekezaji kwenye sekta ya madini baada ya kuorodheshwa miongoni mwa maeneo yanayoongoza barani Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya . . .
BEI ya unga wa mahindi imeanza kupanda katika maeneo ya North Rift baada ya baadhi ya kampuni za kusaga bidhaa hiyo kumaliza akiba ya zao hilo, huku wakulima wakianza kuficha mahindi wakisubiri bei ip . . .
TIA Yasistiza Utafiti na Ubunifu Katika Kuchochea Uchumi – Kongamano la Kimataifa la 4 la Usimamizi wa Biashara na Ukuaji wa Uchumi Lafana MwanzaMwanza, 25 Novemba 2025 – Taasisi ya Uhasibu T . . .
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka kampuni 15 za Jamhuri ya Korea ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya KOIMA Bi. Youn Young Mi umetembelea Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) ili kuangazia ushirikiano wa k . . .
MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu haujaathiri kasi ya uwekezaji nchini.Mkurugenzi Mkuu wa Tiseza, Gilead Teri amesema hali hiyo ina . . .
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imefanikiwa kusimamia vyema Itifaki ya Soko la Pamoja katika miaka 25 baada ya kuanzishwa tena mwaka 1999.Kazi kubwa iliyopo mbele yake kuanzia 2025 ni kusimamia na k . . .
WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya madini imeendelea kuwa nguzo ya uchumi nchini ambapo katika mwaka 2022 sekta hiyo imekua kwa asilimia 10.9 na kufikia mchango wa asilimia 10.1 kwenye . . .
Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Mohamed Gombati amesema Maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani humo kila mwaka yamekuwa yakiongeza ajira na mzunguko wa biashara kwa wananchi, watoa hudu . . .
WIZARA ya Uchukuzi imesema sekta ya usafirishaji kupitia bandari inachangia asilimia 40 ya mapato ya nchi.Pia, imesema serikali ina matarajio ya kuunganisha bandari na Reli ya Kisasa (SGR) ili kuwa na . . .