Staa mkubwa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Wiz Khalifa amehukumiwa na Mahakama ya Romania kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kuvuta bangi jukwaani akiwa anafa . . .
Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, amehukumiwa kifungo cha miezi tisa jela na Mahakama ya Romania kwa kosa la kuvuta bangi hadharani wakati wa onyesh . . .
Msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania.Hayo yamesemwa leo disembs 18 mwska huu jijini Dar es . . .
Mrembo wa mitandao ya kijamii Caren Simba (@caren_simba), amefunguka na kufafanua kuwa hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua (@pacom_z . . .
Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani.Tagawa amefariki mbele ya familia . . .
Msanii wa Bongo Flava nchiniTanzania@rayvanny , ameendelea kuweka rekodi na kuthibitisha ukubwa wake kimataifa baada ya wimbo wake “Oh Mama Tetema” kupata tuzo ya 8 . . .
Baada ya mashabiki kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye msanii mwenye nguvu na uthubutu mkubwa kwenye game akiwakilisha nchini congo DK Balafu mwenye makazi yake nchini Finl . . .
Tasnia ya filamu ya India imegubikwa na simanzi kufuatia kifo cha mmoja wa nguli wake wakubwa na kipenzi cha vizazi vingi Dharmendra Kewal Krishan Deol ambaye amefariki a . . .
Jumuiya ya burudani nchini Tanzania imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha ghafla cha mchekeshaji na mshereheshaji maarufu, Emmanuel Mathias, anayefahamika zaidi . . .
Msanii maarufu kutoka Nigeria, Tekno, amevutia hisia nyingi baada ya kushinda ₦298,000,000 kupitia mchezo wa betting. Kiasi hiki kikubwa cha fedha. Tekno haku . . .
Tamasha la Sauti za Busara 2026 linarudi kwa shauku kubwa kutoka 5–8 Februari katika mji wa kihistoria wa Stone Town, Zanzibar. Tukio hili la mwaka la 23 litasherehekea . . .
Grace of Africa yazindua rasmi wa wimbo wao mpya wa injili, “Nguvu Yangu (My Strength)”, unaohamasisha imani, tumaini, na nguvu ya ndani.Wimbo huu, ul . . .
Kutoka kwenye website ya Magereza nchini Marekani (Federal Bureau of prison) Msanii Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka Gerezani Mei 202Diddy alihukumiwa kifungo cha miez . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amekabidhi kiasi cha shilingi milioni tano (5,000,000/=) kwa t . . .
Mwanamuziki wa R&B, Bryson Tiller, ameonyesha upendo na shukrani za dhati kwa mwenzake Chris Brown kwa kumzawadia gari jipya aina ya Lamborghini baada ya kumalizika k . . .
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Michael Eugene Archer almaarufu D’Angelo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51 baada ya kusumbuliwa na saratani ya kongosho kwa mud . . .
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mrefu wenye hisia kali kupitia ukurasa wake wa Instagram akimzungumzia m . . .
MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman Kihamba maarufu kama Aggy Baby ameendelea kusisitiza kuwa mrembo wa mitandaoni Poshqueeen hajaolewa, akidai tukio lililozua gumzo mi . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba rapa maarufu Diddy (Puff Daddy) amempigia simu akiomba msamaha wa rais, kufuatia hukumu ya kifungo cha miezi 50 jela. . . .
Msanii na nyota wa mziki Juma Jux na mke wake mrembo Priscilla wameweka kumbukumbu nyingine ya kipekee baada ya kufanya sherehe ya 40 ya mtoto wao kwa bashasha na mvuto w . . .
Msanii maarufu wa mitindo, Surraiya Rimoy almaarufu kama Sanchi, ameweka wazi kuwa maisha anayoyaonesha kwenye mitandao ya kijamii yasichukuliwe kama taswira . . .
Mrembo maarufu wa mitandao ya kijamii, Poshy Queen, ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na urembo na muonekano wake (shape), hatimaye amefunguka rasmi kuwa kwa sas . . .
Mfanyabiashara na staa maarufu wa Afrika, Zari The Bosslady, amethibitisha kuwa amepata ajali ya gari akiwa ndani ya Range Rover yake. Kupitia ukurasa wake . . .
Msanii chipukizi wa muziki duniani, D4vd, amejikuta katikati ya tuhuma nzito baada ya kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mwenye umri wa miaka 15, Celes . . .
Mwanamitindo maarufu wa Afrika Mashariki, Jasinta Makwabe ‘Candy Boo’, amewasha moto mitandao baada ya kudaiwa kutoa kauli nzito inayozua mjadala mkubwa. Amesema staa . . .
Staa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva @luludivatz amefungukia tuhuma za kutoka kimapenzi na aliyekuwa X wa Hamisa Mobetto, Kelvin Sowax kabla hajaolewa.Lulu . . .
Muigizaji mkongwe na maarufu wa filamu za BongoMuvi, Issa Musa maarufu kama “Cloud”, jana mchana amewasili nchini akitokea London, Uingereza, ambako anaishi na famili . . .
Tamasha jipya la muziki na utamaduni, Futopia Festival 2025, limeendelea kuteka hisia za mashabiki waliomiminika Fumba Town, Zanzibar. Baada ya siku ya kwanza iliyojaa su . . .
Zanzibar jana ilikuwa sehemu ya moto kabisa baada ya kuzinduliwa rasmi kwa tamasha jipya la Futopia. Siku ya kwanza pekee imeonyesha wazi kuwa hili si tukio la kawaida, b . . .
“Kuanzishwa kwa Tamasha la Futopia hakumaanishi tumeliacha Sauti za Busara,” alisema Lorenzo, Mkurugenzi wa Busara Promotions, katika ufunguzi rasmi wa tamasha jipya . . .
MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul 'Harmonize', ameungana tena kimuziki na mrembo mwenye kipaji Abigail Chamungwana 'Abigail Chams' kwenye kazi mpya iitwayo "Lala", wimbo . . .
Rapa na Emcee kutoka Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe Rhyme Assassin ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Be Might Kupitia wimbo huo uliotayarishwa . . .
Mtanzania Juma Hamad maarufu kama Jayzow ameshinda tuzo ya Kimataifa katika tuzo za GMA ( Ghana Merit Awards 2025 ) zilizofanyika Nchini Ghana Jayzow ameibu . . .