OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano . . .
TANZANIA imeahidi kuendeleza mapinduzi ya kidigitali katika sekta ya elimu kupitia ushirikiano na Kampuni ya eee Austria.Katibu Mkuu wa Wiza . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Hashil Abdallah amesema ili kufanikisha mageuzi ya kiuchumi na teknolojia kunahitajika m . . .
TANZANIA imeanza kuandaa wataalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa lengo la ku . . .
VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza m . . .
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewataka Mawakili wa Serikali kuyatumia mafunzo yanayotolewa kuhusu Hifadhi ya Jamii, katika kuh . . .
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amemtumia salam Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na . . .
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa ki . . .
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi ( . . .
Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – Mahakama Kuu ya Kikosi cha Jeshi imeweka Ijumaa kama siku ya kutoa uamuzi katika kesi ya kihi . . .
Miili ya masista wanne wa waliofariki ajalini Mwanza ikiingizwa katika Kanisa la Mwenyeheri Isdory Bakanja Boko, Jimbo Katoliki Bagamoyo kwa . . .
Kipyenga cha mashindano ya ngazi ya klabu barani Afrika kimepulizwa wiki hii na leo ni zamu ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, ambao watas . . .
Mnyororo wa Thamani wa Madini Kubaki Tanga Kupitia Soko la Madini ☑️ Fursa Mpya kwa Wachimbaji Wadogo kuuza Dhahabu na Vito kwa bei s . . .
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) imezindua Bodi shirikishi . . .
Baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumuita aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kutoa . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Mjini, Frank Nyalusi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijuma . . .
Kocha wa Simba Fadlu Davids hana mpango wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo msimu huu 2025-26.Rais wa Simba Mo Dewji amejitahidi kumshawishi . . .
WANAJESHI wa Ukraine wanaendelea kuwazuilia zaidi ya Wakenya wanne ambao imebainika walinyakwa wakipigania jeshi la Urusi.Ukraine na Urusi z . . .
Marekani kwa mara nyingine tena imepinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi lililotaka kusitishwa mara moja na . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza siku ya Alhamisi kuwa wagonjwa 48 wa Ebola wamethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo . . .
Faida ya kula utumbo wa taulo (ambao pia hujulikana kama utumbo mkubwa, au kwa Kiingereza tripe) ni nyingi kiafya, hasa pale unapopikwa vizu . . .
Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika . . .
Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini ilitupilia mbali rufaa siku ya Jumanne iliyowasilishwa na familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu . . .
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi . . .
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura kuidhinisha usitishwaji wa vita na kuruhusu misaada kuingia Gaza, licha ya ku . . .
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepuliza kipenga cha kuanza kampeni za vyama vya siasa za takribani siku 40, zikihusisha ya vyama vya siasa . . .
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumuondoa mgombea wake wa urais, Luhaga Mp . . .
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025, Ismail Alli Ussi amewataka maofisa usafirishaji wa pikipiki za abiria maarufu kama ‘bodabo . . .
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, leo kunadi sera na ilani katika viunga vya Unguja, visiwani Zanzibar, wanan . . .
WATAALAMU wa ugani nchini wametakiwa kufikisha kwa wananchi elimu ya usimamizi wa misitu, ili suala la usimamizi endelevu wa misitu, kitalu . . .
KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeendelea kuwa moto mahakamani, safari . . .
KATIKA miji mikuu inayozidi kukua kwa kasi kama Dar es Salaam, ndoto za mafanikio zinaambatana na hali halisi inayoleta madhara kimyakimya k . . .
WADAU wa demokrasia nchini, wamependekeza zaidi ya mambo 20 wanayoamini yakifanyiwa kazi yanaweza kuimarisha umoja na mshikamano nchini.Wada . . .
Balozi wa China nchini Chen Mingjian amesema nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania zinaweza kuondokana na umaskini iwapo watu wake watakuwa na . . .
Maelfu ya raia wa Uingereza wamejitokeza mitaani jijini London na miji mingine kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye amewa . . .
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa ki . . .
Mahakama ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai nda . . .
Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16 mwaka . . .
Ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kuimarika baada ya kuzinduliwa kwa Kamati ya Pamoja ambayo itasaidi katika Biashara ya Kabon hususa . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amesema Serikali kupitia Wizara ya Kilimo inatambua na kuthamini mchango wa Sekta Binafsi kat . . .