1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

MIAKA 22 YA SAUTI ZA BUSARA YAZAA TAMASHA JIPYA FUTOPIA

“Kuanzishwa kwa Tamasha la Futopia hakumaanishi tumeliacha Sauti za Busara,” alisema Lorenzo, Mkurugenzi wa Busara Promotions, . . .

Jembe Michezo

Yanga Sc leo kibarua wanacho dhidi ya Wiliete FC

Kipyenga cha mashindano ya ngazi ya klabu barani Afrika kimepulizwa wiki hii na leo ni zamu ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, a . . .

Simbu Aandika Dhahabu ya Kwanza: Tanzania na kuingia Kwenye kwenye Historia ya Dunia

Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikikumbukwa kupitia mashujaa wake wa riadha kama Filbert Bayi, aliyewahi kuvunja rekodi ya dunia . . .

Jembe Habari

Tanzania kuendeleza mapinduzi ya elimu kidigitali

TANZANIA imeahidi kuendeleza mapinduzi ya kidigitali katika sekta ya elimu kupitia ushirikiano na Kampuni ya eee Austria.Katibu Mk . . .

Marekani yapiga kura ya turufu azimio la UNSC kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano Gaza

Marekani kwa mara nyingine tena imepinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi lililotaka kusitishwa ma . . .

Habari Zote
Kitaifa

Wagombea watakiwa kuzingatiai ilani, kutoa ahadi zinazotekelezeka

OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano . . .

Elimu

Tanzania kuendeleza mapinduzi ya elimu kidigitali

TANZANIA imeahidi kuendeleza mapinduzi ya kidigitali katika sekta ya elimu kupitia ushirikiano na Kampuni ya eee Austria.Katibu Mkuu wa Wiza . . .

Kitaifa

Mshikamano wahitajika mageuzi kiuchumi nchini

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Hashil Abdallah amesema ili kufanikisha mageuzi ya kiuchumi na teknolojia kunahitajika m . . .

Kimataifa

Tanzania kuandaa wataalamu wa nyuklia

 TANZANIA imeanza kuandaa wataalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa lengo la ku . . .

Kimataifa

Malawi vyama viwili vyajitangazia ushindi urais

 VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza m . . .

Habari

Mawakili wa Serikali watakiwa kuzingatia sheria za Hifadhi ya Jamii

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewataka Mawakili wa Serikali kuyatumia mafunzo yanayotolewa kuhusu Hifadhi ya Jamii, katika kuh . . .