TANZANIA imeahidi kuendeleza mapinduzi ya kidigitali katika sekta ya elimu kupitia ushirikiano na Kampuni ya eee Austria.Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo, . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Hashil Abdallah amesema ili kufanikisha mageuzi ya kiuchumi na teknolojia kunahitajika mshikamano thabiti kati ya waajiri na wafanyakazi kwa misingi . . .
TANZANIA imeanza kuandaa wataalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa lengo la kujenga uwezo wa kitaifa na kupunguza utegemezi wa wataalamu k . . .
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ya kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Usalama na Afya . . .
Marekani kwa mara nyingine tena imepinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi lililotaka kusitishwa mara moja na katika hali ya kudumu kwa mapigano huko Gaza na kuachiliwa . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza siku ya Alhamisi kuwa wagonjwa 48 wa Ebola wamethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na watu 31 wamefariki baada ya kuambukizwa virusi vya ugon . . .
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kudumisha amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu unaotara . . .
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025, Ismail Alli Ussi amewataka maofisa usafirishaji wa pikipiki za abiria maarufu kama ‘bodaboda’ kutotumia usafiri huo kuchochea vitendo vya uhal . . .
WATAALAMU wa ugani nchini wametakiwa kufikisha kwa wananchi elimu ya usimamizi wa misitu, ili suala la usimamizi endelevu wa misitu, kitalu cha miti, ufugaji nyuki, uongezaji thamani na teknojia ya ku . . .
Raia wa Malawi wanasubiri matekeo ya uchaguzi wa urais, baada ya kushiriki uchaguzi Jumanne kuwachagua viongozi wao.Mbali metekeo ya urais raia hao pia wanasubiri matekeo ya wabunge na madiwani, wagom . . .
Nchini Kenya, mahakama imetoa siku ya Jumanne kibali cha kukamatwa kwa mwanajeshi wa Uingereza. Mwanajeshi huyo anashukiwa kumuua Agnes Wanjiru, mama mwenye umri wa miaka 21 ambaye mwili wake ulipatik . . .
Geita Gold Mining Limited (GGML), kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti, imethibitisha kushiriki kikamilifu katika Maonesho ya 8 ya Teknolojia ya Madini yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Bombam . . .
Wakati Rais wa Ghana John Dramani Mahama akithibitisha kuwasili katika nchi yake wahamiaji 14 wa Afrika Magharibi waliofukuzwa kutoka Marekani kufuatia makubaliano kati ya Accra na Washington, watano . . .
Wabunge nchini Chad, Jumatatu ya wiki hii walipitisha marekebisho ya katiba yanayoongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 na kwa kipindi kisichokuwa na ukomo.Muswada huo uliwasilish . . .
Utawala wa Gavana Gladys Wanga umemchukulia hatua afisa mkuu anayedaiwa kumpiga mwanahabari.Katika taarifa kwa vyumba vya habari mnamo Jumatatu, Septemba 14, kaunti ilitangaza kuzuiwa kwa Beatrice Mer . . .
WAKILI Charles Kanjama amesema kuwa kisheria, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua anaruhusiwa kuwania urais mnamo 2027 kama kesi yake mahakamani haitakuwa imeamuliwa na kukamilishwa viwango vyote vy . . .
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani WHO, kuna ongezeko kubwa la unene kupindukia miongoni mwa watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 19.Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya tatizo la watu ku . . .
MIRADI ya maendeleo ambayo Serikali Kuu inatekeleza katika eneo la Gusii inachukuliwa kama ya chambo cha kuwavutia wakazi wamuunge mkono Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027.Wachanganuzi wan . . .
SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kufuta ada za viza kwa raia wote wa nchi za Afrika, hatua inayolenga kurahisisha usafirishaji wa watu na bidhaa ndani ya bara hilo.Tangazo hilo lilitolewa Alh . . .
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashtaka mazito ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu, hatua inayohofiwa inaweza kuibua upya vita vya wenyewe kwa wenyewe n . . .
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ali Ussi amewashauri wananchi wa wilayani Kyerwa mkoani Kagera kuacha tabia ya kutunza fedha majumbani badala yake watunze benki.Amesema kwa kufanya h . . .
Ripoti mpya ya elimu imependekeza kuchukuliwa hatua za haraka na madhubuti za kisera zinazotokana na utafiti ili kukabiliana na tatizo la umaskini wa kujifunza duniani baada ya kubainika kuwa watoto w . . .
Hizi ndizo familia maarufu za kihalifu (mafia) zilizoanza zamani lakini bado zinahusishwa na shughuli haramu hadi leo kimya kimya:1. Familia ya Gambino – New York Iliongozwa na nguli John Gotti . . .
CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kimesema kikipata ushindi katika Uchaguzi Mkuu serikali yake itajenga kambi za kutunza wazee kwenye kila mkoa.TLP imesema kila kambi itakuwa na uwezo wa kutunza wazee 1 . . .
MKOA wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa inayoshuhudia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara kwa kiwango kikubwa.Mji huu wa biashara ‘unasukwa’ kila kona, hasa kwa ujenzi wa barabara . . .
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mpango mpya wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kununua vitendea kazi ikiwemo magari 100, bajaji 100 na pikipiki 284, hatua inayolenga kuongeza ufanisi ka . . .
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fursa za uwekezaji kati ya Tanzania na Oman katika sekta mbali . . .
SERIKALI ya China imesema itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha taifa linapiga hatua za haraka kwenye maendeleo ya kiuchumi yanayochochewa na teknolojia ya kidijitali.Kauli hiyo imeto . . .
Profesa Palamagamba Kabudi na Spika Dk Tulia Ackson wamebainisha sababu za wananchi kumuamini Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa kura za kishindo katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.Akizu . . .
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapiduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kuwekeza kwenye sekta za kilimo, mifugo na miundombinu ili kuinua maisha y . . .