Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa UM akosoa kuvunjwa kwa vyama vya siasa

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imejibu kuhusu kufutwa kwa vyama vya siasa nchini Burkina Faso, uamuzi uliofanywa na utawala wa kijeshi unaotawala.

Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk ametaka "nafasi halisi ya kiraia na kidemokrasia" nchini Burkina Faso.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii