UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende. Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni wa . . .
Faida ya kula utumbo wa taulo (ambao pia hujulikana kama utumbo mkubwa, au kwa Kiingereza tripe) ni nyingi kiafya, hasa pale unapopikwa vizuri na kwa usafi. Hapa chini ni baadhi ya faida kuu za kula utumbo huu Chanz . . .
KATIKA miji mikuu inayozidi kukua kwa kasi kama Dar es Salaam, ndoto za mafanikio zinaambatana na hali halisi inayoleta madhara kimyakimya kwa afya ya wakazi wake, mojawapo ikiwa ni kukosa usingizi wa kutosha.Wakazi weng . . .
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende.Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni wat . . .
USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri wa kuzungumza kwelikweli hata kama waliomzunguka wote ni wanaume. Aki . . .
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja, japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa. Siku zote mt . . .
Kila mwaka duniani kote kuna vifo 138,000 kutokana na kuumwa na nyoka.Nchini India kila mwaka zaidi ya vifo elfu 60 hutokea kutokana na kuumwa na nyoka.Kila mwaka kuna visa laki 5 vya kuumwa na nyoka kote ulimwenguni. Ka . . .
KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penz . . .
HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hi . . .
FAITH Kemunto Obino mwenye umri wa miaka 20 alitoweka nyumbani kwa wazazi wake kijijini Nyamonuri, eneobunge la Mugirango Kaskazini Kaunti ya Nyamira takriban mwezi mmoja uliopita.Familia yake ilianza kumtafuta lakini ju . . .
MWAMKO mpya wa viongozi chipukizi unaoendelea kushuhudiwa Magharibi mwa nchi unatishia umaarufu wa Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula ambao wamekuwa wakitawala siasa za en . . .
HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano. Ukimfanyia yale anayoyapenda, sio kwamba atafurahi tu bali . . .
DUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu. Waswahili wanasema ni kama vile kumsukuma mlevi jinsi ambavyo mambo yamekuw . . .
MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli za kuudhi na zisizo za kiungwana na muda wote anaamini kwamba yeye hak . . .
JE, wewe hufua taulo yako baada ya kuitumia mara ngapi?Iwapo wewe huoga mara moja kwa siku, basi siku ifuatayo unapaswa kufua taulo yako.Na iwapo unaugua ugonjwa unaodhoofisha kinga mwili yako au una maambukizi, unapas . . .
Mbegu za uwatu (pia hujulikana kama "hilba" katika baadhi ya maeneo) ni mbegu za mmea wa Trigonella foenum-graecum. Zimetumika kwa muda mrefu katika tiba asilia, hasa katika tiba ya Kiasia na Kiafrika.Zina virutubisho vi . . .
Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa. Ukanda huo hufungwa kwenye sehemu ya juu ya mkono na kuunganishwa na kifaa cha . . .
Kusaidia uwiano sahihi wa pH ya mwili kuuwezesha kufanya shughuli mbalimbali.Ina vitamin C na kemikali mimea ambayo husaidia kutibu mafua na mfumo wa upumuaji. Pia kuboresha afya ya ngozi, fizi (kuzuia fizi kutoka damu, . . .
KATIKA mitaa ya Segerea jijini Dar es Salaam, kijana Baraka Rose, anaishi na ndiko anakofanya harakati za kujitafutia kipato, akijiajiri mwenyewe kushona viatu.Baadhi ya wakazi wa eneo hilo kila walipoona walipita na kus . . .
WATU wanaougua ukambi wamekuwa wakiongezeka duniani katika miaka ya hivi karibuni. Mnamo mwaka wa 2023, kulikuwa na visa milioni 10.3 duniani kote ongezeko la asilimia 20 ikilinganishwa na mwaka wa 2022.Mlipuko wa ukambi . . .
MWANAO anapopata rafiki mpya shuleni, rafiki huyu mdogo anaweza kuwa zaidi ya mshirika wa kucheza naye tu.Urafiki huu wa mapema unaweza kuboresha ujuzi wa mtoto wako .Kwa mujibu wa watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Illinois . . .
UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru. Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha . . .
KUNA baadhi ya wanawake ambao wanaweza kukosa hedhi hata kufikia miezi mitatu au zaidi ilhali hawajashika mimba.Iwapo unakumbwa na shida hii, ni vyema kuchunguza sababu zinazokufanya kukosa hedhi kwa muda huu wote licha . . .
TATIZO la kutoa harufu mbaya kinywani hutokana na mambo mengi.Hata hivyo, kuna baadhi ya vyakula ambavyo husaidia kukabiliana na shida hii. Kwa mfano:MajiKunywa maji ndio mbinu sahili ya kukabiliana na tatio hili. Unapok . . .
KUNA baadhi ya watu ambao inapowadia wakati wa kulala, wao hukumbwa na changamoto ya kupata usingizi mzuri. Ikiwa wewe ni mmoja wao, basi unapaswa kujua kwamba kuna vyakula ambavyo vinaweza kukusaidia wakati huu. Hivi ni . . .