Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla hivyo kwa mujibu wa Healthline, juisi ya karoti ina kalori chache na wang . . .
Katika zama za sasa, laptop na PC zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kazi, burudani, elimu na mawasiliano yote yanategemea vifaa hivi. Lakini unapoenda kununua, ni rahisi kushindwa kuamua ni kifaa gani kinachokidhi ma . . .
Unatambua kwamba ulaji wa tufaha (Apple) moja kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya ya moyo kwa kutanua mishipa ya damu, kupunguza uvimbe, kulinda seli, na kusaidia kuweka mishipa ya damu yenye afya, kulingana na ut . . .
Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi za lishe (fiber), vimeng’enya (enzymes) na virutubisho vi . . .
Hali ambapo matiti ya mwanamume yanakua makubwa inafahamika kama gynaecomastia.Kwa kawaida hali hii hutokea kukiwa na tishu zaidi ya matiti katika sehemu inayozingira chuchu na hivyo kusababisha matiti kuwa makubwa.Hali . . .
KUWA na hedhi ni jambo la kawaida kutokea kila mwezi. Japo hedhi hutarajiwa hasa kwa wale wanaojua kuhesabu siku zao, kuna wakati ambapo kipindi hiki hutokea bila kutarajiwa.Kuna mambo fulani yanayohusiana na uzazi ambay . . .
HUKU idadi ya binadamu ikiendelea kuongezeka ulimwenguni na chakula kuwa haba, wanasayansi wamebaini kuwa kula wadudu ambao wana viwango vya juu vya protini kutakuwa jambo la kawaida miaka mingi inayokuja.Jinsi idadi ya . . .
WANAWAKE wengi hukumbwa na maambukizi hasa katika sehemu nyeti, baadhi yakichangiwa na desturi za kutozingatia usafi.Matumizi ya choo na jinsi ya kuhakikisha usafi baada ya kumaliza haja kubwa au ndogo, ni mambo yanayofa . . .
KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, Kaunti ya Nairobi imeipiku Homa Bay kwa kuongoza, kitaifa, katika idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya HIV na ugonjwa wa Ukimwi.Kwa mujibu wa data kutoka kwa Baraza la Kitaifa . . .
Tanzania kwa muda mrefu imekuwa mfano wa utulivu na mshikamano katika Afrika mashariki. Hata hivyo ,kama ilivyo katika mataifa mengine yanayotumia mifumo ya demokrasia ,chaguzi ,mijadara ya kisera ,natofauti za kiit . . .
WANASAYANSI wamebaini umri halisi ambao ubora wa mbegu za kiume huanza kudorora, hali inayoongeza uwezekano wa wanaume kuwarithisha watoto wao mabadiliko ya kijeni yanayosababisha magonjwa mbalimbali.Utafiti mpya uliocha . . .
Katika enzi hizi ambapo mawasiliano hutegemea simu za mkononi, wataalamu wanasisitiza kwamba unavyotumia kifaa hiki kwa mwenzi wako inaweza kujenga uhusiano wenye afya au kuusambaratisha kabisa.Huku simu zikiwa sehemu ya . . .
KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa Mtwara, Lindi na Pwani. Wengi wetu hatuli korosho na hata pale tunapokula, hula kama kitafunwa cha . . .
KILA wakati baada ya kula chakula, watu wengi hutumia kichokonoo (toothpick) kuondoa mabaki ya chakula katikati ya meno.Hata hivyo, Dkt Serah Wanza, mtaalamu wa afya ya meno katika hospitali ya Versatile Dental Solutions . . .
UTAFITI mpya umeonya kwamba mtoto anapotumia sana vifaa vya kielektroniki, hasa pale shida hii inapoambatana na kiwango kidogo cha usingizi, kunaweza kuongeza hatari ya kupata matatizo ya moyo na kimetaboli baadaye maish . . .
Ni viumbe wa ajabu, wenye upara, wanaishi chini ya ardhi wakiwa na mwonekano unaofananishwa na soseji yenye meno, na sasa wataalamu wamefichua siri ya kijenetiki kuhusu siri ya wanyama hao kuishi maisha marefu.Utafiti mp . . .
Homa ya mapafu ni miongoni mwa magonjwa ambukizi yanaongoza kwa kusabisha vifo vingi miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.Mary Wanjiku Murimi, mama wa watoto wanne, anaishi kusimulia jinsi mwanawe alia . . .
UWEZO wa mwanamke kupata mimba hupungua kwa kasi kuanzia katikati ya umri wa miaka 30, jambo ambalo limekuwa likiwasumbua wanasayansi kwa muda mrefu.Kwa miaka mingi, watafiti waliamini kuwa chanzo kikuu cha kupungua kwa . . .
Katika Maisha ya kila siku Maneno kama hekima na akili hutumika kwa pamoja kana kwamba yana maana moja ambapo Watu wengi husema " Yule mtu ana akili nyingi au ana hekima kubwa" .Hatahivyo ukichunguza kwa undani ,Ma . . .
Kilio katika msiba ni tukio la kawaida duniani Kote,. Nisauti ya huzuni,upendo na hisia ambazo maranyingi maneno hushindwa kueleza. Watu hulia si kwasababu ni dhaifu ,bali kwasababu mioyo yao imeguswa na tuki . . .
Profesa Kokuletage Ngirwa,Aurelia Kamuzora huyo ni Tanzania na ni miongoni mwanchi zinazotambulika kwa uzalishaji wa kahawa bora barani Afrika. Miongoni mwa mikoa vinara katika zao hili ni kagera ,yenye historia nd . . .
Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa kwa pamoja kama ifuatavyo:Kunywa PombeMwanamke mjamzito hapaswi kunywa pombe. Unywaji wa pombe kwa mjamzito husababisha mjamzito kujifungua kabla . . .
Shukrani za kipekee zimuendee Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri na unaendelea kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo yakao.Wataalamu wengi wa masuala ya mape . . .
SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila kugombana na mpenzi wake. Anampenda, hayupo tayari kumpoteza lakini maisha yao ki . . .
JE, baada ya kushabikia kinywaji kilichositiriwa na chupa ya plastiki, huwa unafanya nini na chupa hiyo?Wengi huweka chupa za plastiki kwenye mapipa au kwenye majaa. Cha kushangaza zaidi, wapo wanaozitupa kiholela barabr . . .