WATU 12, wakiwemo watalii, wanahofiwa kufariki baada ya ajali ya ndege kutokea katika eneo la Vyungwani, Matuga, Kaunti ya Kwale, asubuhi ya Jumanne.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchin . . .
Lebanon kupitia wizara yake ya afya imesema mashambulizi ya Israel kusini na mashariki mwa nchi hiyo, yamewaua watu watatu, licha ya makubaliano yanayoendelea ya usitishaji mapigano.Lebanon kupitia wi . . .
Takriban watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano mjini Douala nchini Cameroon siku ya Jumapili wakilalamikia wizi wa kura, huku raia wakizidi kusubiri matokeo ya urais baada ya uchagu . . .
Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam Oktoba 22,2025 imewahukumu kutumikia kifungo cha miaka 35 jela Mohamed Aloyce Mtangile mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa yombo vituka na Shafii Ahmed Sali . . .
Maafisa wawili wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai wametiwa mbaroni kufuatia kisa cha wizi katika eneo la Kasarani. Kulingana na ripoti iliyowasilishwa katika Kituo cha Polisi cha Kasarani c . . .
Mamlaka za Uganda zinasema idadi ya waliofariki katika ajali mbaya iliyotokea kwenye Barabara Kuu ya Kampala–Gulu 46, kufuatia taarifa mpya kutoka kwa maafisa wa hospitali.Maafisa wanasema baadhi ya . . .
Baada ya watuhumiwa hao kufikishwa kituoni, vijana wa bodaboda waliopewa taarifa potofu na ambao walishuhudia watuhumiwa hao kufikishwa kituoni walirudi eneo la mji wa Sirari na bila halali yoyote na . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni imewahukumu vijana wanne, akiwemo askari mmoja na mabondia wawili, kifungo cha miaka saba jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya ku . . .
Serikali mpya ya Peru imetangaza siku ya Alhamisi nia yake ya kutangaza hali ya hatari katika mji mkuu, Lima, kufuatia wimbi la ghasia za uhalifu zilizopangwa ambazo zimesababisha maandamano makubwa y . . .
Takriban watu 16 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kuzuka katika kiwanda cha nguo nchini Bangladesh, huku maafisa wakisema kuwa huwenda idadi hiyo ikaongezeka.Shirika la zimamoto limesema miili 16 . . .
Takriban watu 300,000 wameikimbia Sudan Kusini tangu mwanzoni mwa mwaka 2025, huku mzozo kati ya viongozi wanaohasimiana ukitishia kuzua vita vya wenyewe kwa wenyewe, Umoja wa Mataifa unaonya.Kutoroka . . .
Wanajeshi 15 wa Pakistan wameuawa katika mapigano makali kati ya vikosi vya Taliban na jeshi la Pakistan karibu na mpaka wa Durand, baada ya mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa na Pakistan ndani ya a . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya Daud Mtuyehabi, aliyewahi kuwa mgombea ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo . . .
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la abiria la Kampuni ya Mallesa na gari la mizigo iliyotokea katika kijiji cha Rumasa, kata ya Butengorumasa, tarafa ya Buseresere, wilayani . . .
Mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema kuwa matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza kuwa anataka kuonye . . .
Waisrael wanajiandaa kuomboleza waliouawa, wakati taifa hilo linaadhimisha miaka miwili tangu shambulio la Hamas la Oktoba 7, ambalo liliingiza eneo hilo katika vita vya maangamizi.Katika kumbukumbu y . . .
Kadri matumizi ya mitandao yanavyoongezeka barani Afrika, wanawake na wasichana wanazidi kuripoti ukatili kutokana na matumizi hayo ya mitandao.Kwenye ripoti iliyotolewa na Shirikisho la Mawakili Wana . . .
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamsaka Christina Kishiwa (42), mkazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi, Manispaa ya Kahama, kwa tuhuma za kumuua mjukuu wake, Sofia Ndoni (4), baada ya kumshambul . . .
MSHUKIWA mkuu katika mauaji ya wagonjwa katika Hospitali Kuu ya Kenyatta, Kennedy Kalombotole amerudishwa rumande kusubiri uamuzi iwapo atapimwa utimamu wa akili yake.Mawakili Joshua Ombengi, Philip M . . .
Jeshi la Israel limesema Jumatano litaifunga njia ya mwisho iliyosalia kwa ajili ya wakaazi wa kusini mwa Gaza kuelekea kaskazini, huku likiendeleza mashambulizi yake Gaza City.Msemaji wa Jeshi la Isr . . .
Watu 95 wamekufa kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan, wafanyakazi wa kujitolea wamethibitisha.K . . .
Maafisa wa upelelezi wanapigwa darubini vikali kwa kushindwa kumkamata mshukiwa hata mmoja kuhusiana na mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbobu, karibu siku 20 baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi jijini Na . . .
Rais mstaafu wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kula njama ya uhalifu katika kesi inayohusiana na kupokea fedha za kampe . . .
Serikali ya Madagascar, kisiwa kilicho katika Bahari ya Hindi, siku ya Alhamisi kimetangaza marufuku ya kutotoka nje usiku kufuatia maandamano makali. Polisi walitumia risasi za mpira na mabomu ya mac . . .