Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea na uchunguzi wa tukio la kuchomwa moto kwa magari mawili katika Kijiji cha Lusanga, Wilaya ya Mvomero, lililotokea kufuatia kifo cha mfanyakazi wa ndani, M . . .
Mvua iliyoambatana na upepo imeezua paa la nyumba katika mtaa wa Ligula TES Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.Mashuhuda wameeleza kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa nane usiku wa kuamkia . . .
Maafisa watatu wa Uhamiaji, Fredrick Kyomo, Joachim Trathizius na Mabruki Hatibu, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu ya Tanzania baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Enos Elias, mkazi . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limesema uchunguzi wa awali umebaini kwamba ajali ya barabarani iliyotokea Disemba 16, 2025 majira ya saa 12:15 Jioni katika eneo la Karasa, Wilaya ya Mbozi Mkoani Songw . . .
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amefanya ziara ya dharura katika Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Wilaya ya Kahama kukagua na kujionea athari za mvua kubwa zilizoonyesha usiku wa kuamkia Desemba . . .
Kiongozi wa zamani wa waasi nchini DRC Roger Lumbala amepatikana na hatia ya kushiriki katika uhalifu dhidi ya binadamu siku ya Jumatatu, Desemba 15.Mwanasiasa huyo wa Kongo, aliyeshtakiwa kwa uhalifu . . .
Jimmy Lai bilionea aliyekuwa akimiliki yombo vya habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa China ametiwa hatiani kwenye kesi ya aina yake kuhusiana na usalama wa taifa hukumu ambayo inampeleka jela mais . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo Jumatatu Desemba 15, 2025, inatarajiwa kusikiliza maombi Na. 289778/2025 yaliyofunguliwa na Waziri wa zamani Geoffrey Mwambe dhidi ya Mkuu wa Jeshi l . . .
Mtuhumiwa mmoja ameuawa na mwingine ameripotiwa kuwa yuko mahututi . Uchunguzi wa polisi kuhusu mkasa huo unaendelea huku polisi wakisema wameikuta silaha inayoweza kusababisha mlipuko kwenye gari lin . . .
Mafuriko ya makubwa yaliyotokana na mvua kubwa na ya ghafla yameuawa watu 21 katika mji wa pwani ya Moroko wa Safi.Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha maji yaliyochanganyika na ma . . .
Zaidi ya watu 400 wameuawa tangu kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lilipozidisha mashambulizi katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Idadi hiyo ime . . .
Familia moja huko Embakasi, kaunti ya Nairobi, imeomboleza kufuatia kifo cha kutisha cha binti yao wa miaka 12, Patience Mumbe. Inasemekana mwanafunzi huyo wa darasa la saba alitoweka alipokuwa a . . .
Thailand imedai leo Jumatatu kutumia ndege "kushambulia malengo ya kijeshi" na "kuzuia mashambulizi ya Cambodia," baada ya mmoja wa wanajeshi wake kuuawa mpakani. Hii imeongeza mvutano, kwani makubali . . .
Madereva watano wa magari ya kubebeba wagonjwa (Ambulance) wamekamatwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kubeba abiria kutoka Dar es salaam kuelekea Mtukula mkoani Kagera.Akizungumza na waandish . . .
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amemfutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.Uamuzi huo umetolewa l . . .
Vyombo vya habari vimeripoti tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari kulikotokana na shambulizi la Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza,Wakati huohuo shirika la habari la Palestina WAFA likitoa taari . . .
Mamia ya watu wamekufa na wengine kutojulikana walipo Kusini Mashariki mwa Asia, kutokana na mvua kubwa zaidi kunyesha katika nchi za bara hilo.Mvua ya masika iliyosababishwa na dhoruba za kitropiki i . . .
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua na kutupa maiti ya mtoto mchanga katika mto Morogoro, eneo la Mchuma, kata ya Kichangani.Watuhumiwa hao, Pendo John Mato . . .
Kabla ya tukio hilo baba mzazi wa mtoto huyo ambao wote ni marehemu, alikwenda nyumbani kwa mzazi kwenzie Violeth Edward (19) na kumchukua kwa nguvu mtoto huyo huku akiwa na jazba.Derick Mwangama (23) . . .
KWA familia za wahanga wa maporomoko ya ardhi ya Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, majonzi yao ni zaidi ya kuwapoteza wapendwa wao, sasa wanakabiliwa na swali gumu: watawazika wapi wakati mashamb . . .
Watu 32 wamefariki dunia, baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, katika machimbo ya Mulondo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ajali hiyo ilitokea ba . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kupinga jaribio la kuanzisha taifa la Palestina, siku moja kabla ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura kuhusu azimio lililoandaliwa na Ma . . .
WATU 12, wakiwemo watalii, wanahofiwa kufariki baada ya ajali ya ndege kutokea katika eneo la Vyungwani, Matuga, Kaunti ya Kwale, asubuhi ya Jumanne.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchin . . .
Lebanon kupitia wizara yake ya afya imesema mashambulizi ya Israel kusini na mashariki mwa nchi hiyo, yamewaua watu watatu, licha ya makubaliano yanayoendelea ya usitishaji mapigano.Lebanon kupitia wi . . .