Alassane Ouattara, ambaye ameiongoza Côte d'Ivoire tangu mwaka 2011, ametangazwa kushinda uchaguzi wa urais wa Oktoba 25, 2025, kwa kishindo, kwa asilimia 89.77 ya kura, kulingana na matokeo ya jumla . . .
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara anatazamiwa kushinda muhula wa nne madarakani, wakati matokeo ya awali yakiashiria ushindi wa kishindo katika uchaguzi ambao wapinzani wake wakuu walipigwa marufu . . .
Jamhuri itajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilishwa na shahidi namba tatu wa Jamhuri kuwa visipokelewe na ma . . .
“Nimeamua kujiunga na CCM kwa sababu nimeona dhamira ya kweli ya serikali ya Dk. Samia katika kulinda amani na kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amani ndiyo msingi wa maendeleo, na siwezi kuu . . .
KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amejipata tena katika hali tata ya kisiasa anapojiandaa ama kuwania urais au kuamua ni nani ataingia mamlakani mnamo 2027.Leo chama chake kinatarajiwa kua . . .
Kampeni za uchaguzi nchini Côte d'Ivoire zinaanza leo Ijumaa, Oktoba 10. Uchaguzi wa urais utafanyika Jumamosi, Oktoba 25. Kabla ya hapo, kwa muda wa wiki mbili, wagombea watano walioidhinishwa na Ba . . .
KIONGOZI wa National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine, amesema Rais Museveni atalindwa iwapo atakabidhi madaraka kwa amani.Akiwahutubia wafuasi wake katika uwanja wa michezo . . .
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria, Noureddine al-Baba, amesema uchaguzi wa bunge nchini humo umekamilika katika vituo vyote vya kupigia kura bila tukio lolote la kuhatarisha usalama.Nouredd . . .
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, ameahidi kumaliza kero za soko kuu la mkoa wa Ruvuma ndani ya siku 90 endapo atachaguliwa kuongoza nchi.Akihitimisha . . .
Guinea imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa urais Desemba 28, uchaguzi wa kwanza tangu Jenerali Mamadi Doumbouya achukue mamlaka katika mapinduzi ya mwaka 2021.Raia wa Guinea watapiga kura k . . .
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi miradi mikubwa ya maendeleo ikiwa ni sehemu ya vipaumbele vya serikali atakayoong . . .
MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino amemlaumu Kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa masaibu yake ya kisiasa huku akisema kuwa sasa anajipanga kivyake kuhusiana na azma yake ya ugavana wa Nairobi m . . .
Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imewaidhinisha Rais Yoweri Museveni na kiongozi wa upinzani Bobi Wine kugombea katika uchaguzi wa 2026 nchini humo.Tangazo hilo linaweka mazingira ya mpambano mkali wa k . . .
Nchini Uganda, sasa inajulikana Yoweri Museveni atapambana na nani katika uchaguzi wa urais wa mwezi Januari 2026. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Septemba 24, Tume ya Uchaguzi imetangaza . . .
CHAMA Tawala cha Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kinachounga mkono Rais Lazarus Chakwera, kimesema kina ushahidi wa wizi wa kura, huku matokeo ya awali yakionyesha kuwa kinashindwa katika u . . .
Nchini Malawi, Chama tawala cha Rais Lazarus Chakwera kinadai kuwa kulikuwa na wizi wa kura katika uchaguzi wa wiki iliyopita huku chama hicho kikidai kuwa na ushaihidi wa kutosha wa kudhibitisha hilo . . .
OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano ijayo kwa kupiga kura.Utekelezaji huo wa kidemokrasia unafa . . .
VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi.Vyama hivyo ni Malawi Congress Party (MCP) kina . . .
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amemtumia salam Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, kujiandaa na "mapinduzi makub . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Mjini, Frank Nyalusi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa Septemba 19, 2025, katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa ali . . .
KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeendelea kuwa moto mahakamani, safari hii akigoma kuendelea na usikilizwaji wa shauri hilo katika . . .
Maelfu ya raia wa Uingereza wamejitokeza mitaani jijini London na miji mingine kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye amewasili nchini humo kwa ziara rasmi.Waandamanaji walibeba maban . . .
Raia wa Malawi, hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, Wabunge na madiwani, uchaguzi ambao unatarajiwa kuamua mustakabali wa taifa hilo kuhusu uchumi na vita dhidi ya rushwa.Upinzani una . . .
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, Septemba 9mwaka hu amezindua rasmi kampeni zake katika mji . . .
NAIBU wa Rais, Prof Kithure Kindiki sasa ana kibarua kigumu cha kuhakikisha kuwa UDA inatwaa kiti cha Mbele Kaskazini baada ya chama hicho kumtaja mwaniaji wake wikendi.Mnamo Jumamosi, UDA ilimta . . .