Miaka kumi ya Jembefm

Safari ya muongo mmoja wa kuelimisha, kuburudisha na kuunganisha jamii.
Tunaendelea kuwashukuru  wasikilizaji wetu, wadau na familia yote ya Jembe FM kwa sapoti yenu isiyo na kifani.

Katika msimu huu wa sikukuu, tunawatakia heri, amani na baraka tele.
Tuendelee kusherehekea mafanikio, umoja na matumaini ya kesho iliyo bora zaidi.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii