logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • HABARI ZA MASTAA
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Kiuchumi Na Biashara

  • Pata Habari Zote Za Biashara Na Uchumi
news
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

NJOMBE YAIBUKA KITOVU CHA MADINI ADIMU, SOKO LAKE KUU LIPO CHINA

Serikali imetangaza kuwa Mkoa wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uwekezaji wa madini nchini baada ya kugunduliwa kwa madini adimu ya Rare Earth Elements (REE) ya aina mbili ambayo ni Neodymiu . . .

news
Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

Wafanyabiashara wasalia kuhesabu hasara ya mgomo

WAFANYABIASHARA kote nchini jana walikuwa wakikadiria hasara kubwa kufuatia maandamano ya Jumatatu yaliyogeuka kuwa vurugu katika miji kadhaa, ambapo makundi ya wahuni yalitumia fursa hiyo kuvamia bia . . .

news
Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

MKOA WA RUVUMA KUZALISHA TANI 29,000 ZA KAHAWA MSIMU 2026/2027

MKOA wa Ruvuma kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, umejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la kahawa kutoka tani 26,088.05 za msimu 2025/2026 hadi kufikia tani 29,000 katika msimu wa kilimo 2026/2027. . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Mfumuko wa bei barani Ulaya ulipanda hadi 3% mwezi Aprili

Kupanda kwa kasi kwa bei ya mafuta kutokana na vita kati ya Iran na Marekani kumesababisha kupanda kwa mfumuko wa bei barani Ulaya mwezi Aprili.Kupanda kwa kasi kwa bei ya mafuta kutokana na vita kati . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

TANZANIA NA JAPAN KUFUNGUA MILANGO MIPYA YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI

Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika sekta ya nishati unaingia hatua mpya, huku juhudi zikielekezwa zaidi katika kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi na teknolojia za kisasa za uzalishaji umeme. . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

SERIKALI YASISITIZA USHIRIKI WA VIJANA KATIKA UKUAJI WA UCHUMI

Serikali imesisitiza kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatoa kipaumbele cha pekee kwa ushiriki wa vijana katika maendeleo, kwa lengo la kuinua vipaji, uwezo, na ari yao katika kufanikisha ukuaji . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • April 13, 2026

FAHAMU KUHUSU ZAO LA ULEZI

Ulezi (kwa Kiingereza: Finger Millet) ni aina ya nafaka ndogo inayolimwa sana katika maeneo yenye ukame au nyanda za juu.Virutubisho vya Juu Una kiasi kikubwa cha madini ya kalsiamu (calcium) kwa . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 31, 2026

Bei ya mafuta yapanda tena soko la dunia

Bei ya mafuta imeripotiwa kupanda tena kwenye soko la dunia kutokana na athari za moja kwa moja za vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran, ambavyo leo vimeingia siku yake ya 32.Mapem . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 18, 2026

Ulega "Shinyanga kupaa kiuchumi kupitia kiwanja cha ndege"

‎Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga kunatarajiwa kuchochea shughuli za kibiashara na uwekezaji, hatua itakayosaidia kuimaris . . .

news
Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • March 17, 2026

TMB"Mahitaji ya nyama soko la nje ni makubwa kuliko uwezo wa uzalishaji hapa nchini"

Mahitaji ya nyama katika soko la nje ni makubwa kuliko uwezo wa uzalishaji hapa nchini.Taarifa ya Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania, Tanzania Meat Board (TMB) Dkt. Daniel Mushi inasema masoko mengi ya . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 10, 2026

Tanzania yashika nafasi ya nne kwa uwekezaji sekta ya madini Afrika

Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kivutio cha kimataifa cha uwekezaji kwenye sekta ya madini baada ya kuorodheshwa miongoni mwa maeneo yanayoongoza barani Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • February 13, 2026

Wakulima waficha mahindi huku uhaba ukichangia bei ya unga kupanda

BEI ya unga wa mahindi imeanza kupanda katika maeneo ya North Rift baada ya baadhi ya kampuni za kusaga bidhaa hiyo kumaliza akiba ya zao hilo, huku wakulima wakianza kuficha mahindi wakisubiri bei ip . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Gsengo
  • November 26, 2025

WATAALAM WA KIMATAIFA WATOA MWELEKEO MPYA WA UCHUMI KATIKA KONGAMANO LA TIA MWANZA

TIA Yasistiza Utafiti na Ubunifu Katika Kuchochea Uchumi – Kongamano la Kimataifa la 4 la Usimamizi wa Biashara na Ukuaji wa Uchumi Lafana MwanzaMwanza, 25 Novemba 2025 – Taasisi ya Uhasibu T . . .

news
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 26, 2025

Ujumbe wa Korea watembelea Soko la Bidhaa Tanzania

Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka kampuni 15 za Jamhuri ya Korea ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya KOIMA Bi. Youn Young Mi umetembelea Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) ili kuangazia ushirikiano wa k . . .

news
Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

TISEZA imesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu haujaathiri kasi ya uwekezaji nchini.

MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu haujaathiri kasi ya uwekezaji nchini.Mkurugenzi Mkuu wa Tiseza, Gilead Teri amesema hali hiyo ina . . .

Kurasa 1 ya 11

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbeto: Rais Mwinyi Agoma Kuvunja Katiba ili Abaki Madarakani Zanzibar

    • 12 masaa yaliopita
  • Kiongozi Mkuu Wa Iran Adaiwa Kujificha Mahali Pasipojulikana

    • 12 masaa yaliopita
  • Trump: Hatuna haraka ya kufikia makubaliano na Iran

    • 13 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode