Kipyenga cha mashindano ya ngazi ya klabu barani Afrika kimepulizwa wiki hii na leo ni zamu ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, ambao watashuka dimbani kuanza safari yao . . .
Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi y . . .
JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, leo Septemba 16 2025 katika mchezo wa fainali.Ofisa Haba . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, dhidi ya watani wao wa . . .
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikikumbukwa kupitia mashujaa wake wa riadha kama Filbert Bayi, aliyewahi kuvunja rekodi ya dunia na kushinda medali ya fedha Olimpiki, n . . .
Ikiwa kesho macho yote yataelekezwa kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo watani wa jadi Simba SC na Young Africans SC watakutana katika Ngao ya Jamii, mchezo unaozindua msimu m . . .
Mwananchi day ni tamasha la vibe duniani ndani ya uwanja wa Mkapa leo ni vibe kama lote, na tayali mashabiki wa Yanga SC washaanza kuingia uwanjani kwaajili ya kuifurahia . . .
Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) umelainisha kanuni yake ya usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya, uamuzi ambao unaweza kupokelewa kwa hisia . . .
Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) imeamua Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2025/2026 itachezwa katika Uwanja wa Puskas Arena, . . .
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amepongeza kiwango cha wachezaji wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia katika tamasha la 17 la Simba Day lilil . . .
Safari ya mafanikio huanza kwa kuituma kwa kile ambacho unakifanya kwenye maisha yako ya kila siku. Hapa Afrika kuna wachezaji wengi ambao wamefanya mengi na hata kushiki . . .
Mwaka mmoja tangu kuteuliwa kuongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, bilionea na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (MO), ametangaza kujiondoa katika nafasi hiyo na . . .
Klabu ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na michuano ya kimataifa kwa kutambulisha rasmi usajili wa beki wa kati Wilson Na . . .
Serikali imetoa wito kwa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC, ambazo kwa sasa hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuhakikisha zinakuwa na viwanja mbad . . .
Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, ameondolewa rasmi katika benchi la ufundi la klabu ya Ujerumani Bayer Leverkusen baada ya kusimama katika michezo miwi . . .
KHALID Aucho kiungo wa zamani wa Yanga SC inatajwa kuwa amefikia makubaliano mazuri na Singida Black kuelekea msimu wa 2025/26.Kiungo huyo ni moja ya wachezaji waliowahi . . .
Mshambuliaji Clement Mzize wa Yanga SC ameboreshewa mkataba wake ambapo mshahara wake inatajwa itakuwa ni milioni 40 kwa mwezi akiwa mchezaji mzawa namba mbili kukunja ms . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amezindua rasmi uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu ujulikanao kama Nsekela Stadium uliojengwa na Abdulmajid Nsekela Mwenyekiti . . .
Kikosi cha wachezaji pamoja na viongozi wa timu ya Taifa ya soka ya Morocco, inayofahamika kama 'Simba wa Milima ya Atlas', kimewasili Dar es Salaam kwa maandalizi ya mch . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025/26 utapigwa Septemba 16, 2025 jijinio Dar es Salaam.K . . .
Kundi D kweye mashindano ya CHAN ambalo linajumuisha nchi za Kongo Brazaville, Sudan kasikazini, Nigeria pamoja na Senegal limekuwa kundi gumu baada ya timu hizo kuwa na . . .
Mgombea urais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Nsolo Malongo Mlozi, amesema kuwa endapo atachaguliwa kushika wadhifa huo, atahakikisha anasimamia ipasavyo katiba ya shir . . .
Michuano ya CHAN2024 inaendelea katika nchi tatu wenyeji Kenya, Tanzania na Uganda, ambapo hii leo mechi kadhaa zitasakatwa katika kundi C nchini Uganda.Katika kundi C, m . . .
Mzee wetu Hemed Morocco na benchi lake la ufundi wanastahili pongezi nyingi sana kwa ambacho wanakifanya kwenye fainali za CHAN 2024! Tusisubiri mambo yaende ndivyo sivyo . . .
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetoa orodha ya vilabu bora barani Afrika ya mwaka 2025.Klabu ya Simba ya Tanzania imeshika nafasi ya tano katika orodha . . .
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameikabidhi Taifa Stars kiasi cha Sh milioni 10 za goli la mama na kuungwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es . . .
Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo roboti hao wenye akili bandia (AI) watash . . .
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania Carles Perez ,ambaye anakipiga kwenye klabu ya Aris Thessaloniki ya nchini Ugiriki ,amelazw . . .
Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kuondoka kwa mshambuliaji wao nyota, Jonathan Sowah, raia wa Ghana, ambaye amejiunga na Simba SC kwa uhamisho wa kudumu.K . . .
Klabu ya Yanga imetangaza hatua kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2025/2026, kwa kuthibitisha kuachana rasmi na wachezaji wake nyota watano, iki . . .
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi Romain Folz kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa 2025–2026.Folz (35) mwenye leseni za UEFA Pro na CONMEBOL Pro, . . .
Marcus Rashford rasmi ni mchezaji wa Barcelona, na tayari amekabidhiwa jezi namba 14 namba yenye historia kubwa katika klabu hiyo, ikiwa ni kumbukumbu ya gwiji wa soka, T . . .
Klabu ya Arsenal mbioni kufanikisha azma yake ya muda mrefu, ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari kutoka Sweden, Viktor Gyökeres, kutoka klabu ya Sporting Lisbo . . .