LOLITA Borega aweka rekodi nyingine tena nchini Tanzania baada ya kung’ara katika mashindano ya AA Junior and Senior Open Water Swimming Championship yaliyofanyika Nyal . . .
Klabu ya Juventus imemfuta kazi kocha wao Mkuu Igor Tudor baada ya kupoteza wa Serie A dhidi ya Lazio kwa goli 1-0. Igor alijiunga na Klabu hiyo mwezi Machi 2025 akichuk . . .
Mshambuliaji na kiungo wa zamani wa Tanzania Alphonse Modest amefariki dunia.Modest alicheza kwa timu za kikanda ikiwa ni pamoja na Simba SC na Young Africanâ . . .
Liverpool inafikiria kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana Antoine Semenyo, 25, msimu wa uhamisho wa wachezaji Januari mwakani. (i Paper - usaji . . .
Kikosi kilirejea jana Dar es Salaam, leo vijana wamepumzika na kesho watarudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo wa Jumapili. Tunayo furaha ya kocha wetu Seleman . . .
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefichua sababu zilizomfanya kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United kabla ya kuchukua mikoba ya Liverpool mwa . . .
Kipa kinda wa soka wa Senegal Cheikh Toure (18) ametekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana baada ya kumtengenezea mtego kuwa anaenda kufanya majaribio ya soka la kulipwa.C . . .
Klabu ya Italia Inter Milan imeingia kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili beki wa kati wa Crystal Palace Marc Guehi lakini Liverpool bado wanapewa nafasi kubwa ya kuinasa . . .
Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Mauritania, uliowape . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amesema Michezo ni ajira uchumi na inatangaza Tanzania na sas . . .
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanyiwa marekebisho yali . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likibainisha kuwa mwongozo wa kupima na kuthibitisha jinsia za wachezaji wa kike utaanza kutumika rasmi kuanzia ms . . .
Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa mujibu wa ripoti mpya ya chom . . .
Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu vya Wanaume Duniani kwa kipindi . . .
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni ya FIFA kwa kipind . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, kupisha uchunguzi wa kina kuh . . .
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni baada . . .
Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa mwaka 2025/2026 akiwashinda Romain . . .
Kama wasemavyo kila hatua mixx ndivyo mtandao unaoongoza Tanzania nzima kwa 4G na 5G iliyoenea kila kona wamefanikiwa kuigusa kila hatua ya mshiriki katika mbi . . .
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Zambia.Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuwania kufuzu Kom . . .
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye . . .
Klabu ya Dodoma Jiji FC imepigwa faini ya jumla ya Shilingi milioni 15 za Kitanzania na Bodi ya Ligi Kuu baada ya kushiriki michezo mitatu bila kuwa na kocha mkuu mw . . .
Kocha wa Manchester United, Rúben Amorim, yuko katika hatihati ya kufutwa kazi yuko katika hatihati ya kufutwa kazi endapo kikosi chake kitashindwa kupata ushindi d . . .
WAKATI timu ya Yanga SC ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya katika maandalizi ya mchezo dhidi ya Mbeya City, Kocha Mkuu wa Yanga, Romain Folz, amewataka wanacham . . .
KOCHA wa muda wa Simba, Hemed Suleiman 'Morocco' amesema haikuwa rahisi kuvuka mechi ya raundi ya kwanza kwa timu hiyo, kwani ilikuwa inacheza kwenye mazingira magumu kut . . .
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imetoa adhabu kwa Chama cha Soka cha Afrika Kusini (SAFA) baada ya kubainika kumchezesha Teboho Mokoena, mchezaji a . . .
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini!M . . .
Liverpool na Manchester United wanatazamiwa kushindania usajili wa pauni milioni 65 wa mlinzi wa Everton mwenye umri wa miaka 23 wa Uingereza Jarrad Branthwaite. (Mirror) . . .
Klabu ya Simba SC haitaruhusiwa kuwa na mashabiki kwenye mchezo wake wa pili dhidi ya Gaborone United baada ya CAF kukataa rufaa yao ya kupinga adhabu ya kucheza bila mas . . .
Kampuni ya Kitanzania ya JUSTFIT ( @justfitsportsgear ) inayojihusisha na uuzaji na utengenezaji wa vifaa vya michezo Septemba 22 mwaka huu kwa kushirikiana na Bodi ya Li . . .
Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwashinda wachezaji maarufu kama La . . .
Klabu ya Simba SC imefanya uteuzi rasmi wa kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kuwa kocha mkuu wa muda wa timu hiyo. Hemed Morocco, ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya . . .
Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, ameaga rasmi klabu hiyo akieleza hisia zake nzito baada ya muda wake kumalizika Msimbazi.Katika ujumbe wake wa kuaga, Davids amesema tang . . .