logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • 4 siku zilizopita

CHADEMA "IPU isikilize pande zote hali ya Tanzania"

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Mabunge Duniani (IPU) kusikiliza maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu hali ya siasa na demokrasia nchini Tanzania, badala ya kutege . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 29, 2026

Nitahamisha Wasomali wampigie kura Rais Ruto 2027

WAZIRI wa Afya Aden Duale amezua mdahalo mitandaoni baada ya kusema atawahamasisha Wasomali kutoka Somalia kumuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027.Akizungumza katika mkutano na w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2026

MWANRI AWASILI SAME KUANZA ZIARA YA KICHAMA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, amewasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Same kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi katika wilaya hiyo.Katika ziara hiyo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2026

Kesi Ya Uhaini Lissu Kuendelea Leo, DCI Kingai Kutoa Ushahidi

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inaendelea leo, Ijumaa, Septemba 18, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.Kesi hiyo inasikilizwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2026

Wasira asema CCM haiwezi kuingilia mihimili mingine

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakiwezi kuingilia mihimili ya dola kwa kuwa kila mhimili una majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria.Kimesema Mahakama ni miongoni mwa mihimili inayopaswa kute . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Kesi ya Lissu Yaendelea, Upande wa Utetezi Kuwasilisha Ushahidi

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo, Septemba 9, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, huku upande wa utetezi ukiendelea kuwasilisha ushahidi.Kesi hiyo imef . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 4, 2026

Golugwa Kupambana Na Maswali Ya Dodoso Kesi ya Lisu leo

Hatua ya maswali ya dodoso (Cross-examination) kwa shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaanza leo, Se . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Rais Hichilema aongoza kwenye matokeo ya kura

Rais Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya uchaguzi wa urais Zambia, baada ya zaidi ya nusu ya majimbo kutangaza matokeo yake.Tume ya Uchaguzi imesema Hichilema amepata kura 1,544,140, sawa n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 13, 2026

Zambia yapiga kura, Hichilema akitarajiwa kuibuka mshindi

Raia wa Zambia leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na viongozi wa serikali za mitaa, huku Rais Hakainde Hichilema akitarajiwa kushinda muhula wa pili wa uongozi.Nchi hiyo ya kusini . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 12, 2026

Kesho ni Siku ya Maamuzi Zambia, Hichilema Akabiliwa na Mtihani Mzito Katika Uchaguzi Mkuu

Zambia iko tayari kwa uchaguzi mkuu unaofanyika kesho, Alhamisi, Agosti 13, 2026, ambapo wananchi watapiga kura kumchagua Rais, wabunge pamoja na viongozi wa serikali za mitaa.Kwa mujibu wa ratiba ras . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Uchaguzi wa urais kufanyika wiki hii nchini Zambia

Raia wa Zambia Alhamisi ya wiki hii watapiga kura katika uchaguzi wa rais unaofuatiliwa kwa karibu na ambao utakuwa kipimo cha mafanikio ya kiuchumi ya Rais Hakainde Hichilema anayewania kuchaguliwa k . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

Uganda: Uteuzi kuelekea uchaguzi wa mitaa kufanyika leo

Nchini Uganda, uteuzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika leo Jumatatu, huku mchakato huo ukikubwa na ukiukaji wa sheria.Uchaguzi huo, umeanza kwenye mazingira ya machafuko na ukiukaji w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Le Pen kugombea urais wa Ufaransa

Kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia nchini Ufaransa, National Rally RN Marine Le Pen amesema atawanai urais wa nchi hiyo katika uchaguzi ujao mwakani.Kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia nchini Ufa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 23, 2026

Uchaguzi Mkuu kufanyika Disemba 22, 2026

Tume ya uchaguzi nchini Sudan Kusini, imetangaza kwamba uchaguzi wa urais utaandaliwa Disemba 22 mwaka huu wa 2026, baada ya zoezi hilo lililosubiriwa kwa hamu kuahirishwa mara kadhaa.Ni tangazo linal . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2026

Rais Mteule wa Benin aanza tena mazungumzo na majirani zake

Baada ya miaka kadhaa ya mvutano na majirani zake wa kaskazini, Rais mteule wa Benin Romuald Wadagni amefanya ziara nchini Niger na Burkina Faso siku ya Jumanne, Juni 2, ambapo alikutana na Jenerali A . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2026

Mbeto "Tanzania Ni Mwalimu wa Demokrasia Kusini mwa Sahara"

Chama Cha Mapinduzi kimesema kwa namna yoyote kuihusisha Tanzania na Ubaguzi wa aina yoyote, au kudai inakiuka msingi ya demokrasia huku ikikandamiza uhuru wa kuabudu ni kituko kipya kuwahi kutokea.Ai . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2026

Rais wa Colombia Akataa Matokeo ya Uchaguzi, Ahoji Mfumo wa Kuhesabu Kura

Rais wa Colombia anayemaliza muda wake, Gustavo Petro, ameibua mashaka kuhusu mchakato wa uchaguzi nchini humo baada ya matokeo ya awali kumuweka mgombea wake kipenzi, Iván Cepeda, akielekea duru ya . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2026

Tinubu ashinda uteuzi kupitia chama cha APC kugombea Urais Nigeria 2027

Rais wa Nigeria Bola Tinubu amepata rasmi tiketi ya chama tawala cha All Progressives Congress (APC) kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.Tinubu alipata ushindi huo baada ya kura . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Waziri wa Uingereza ashinikizwa kujiuzulu kufuatia matokeo mabaya ya Labour

Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer anakabiliwa na presha kubwa kutoka kwa wabunge wa Labour Party baada ya zaidi ya wabunge 20 wa chama hicho kumtaka aweke wazi ratiba ya kujiuzulu kufuatia mat . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Waingereza kupiga kura leo katika uchaguzi

Kura za maoni zinatabiri matokeo mabaya kwa chama chake cha Labour, ambapo ikiwa mambo yatakwenda kombo hali hiyo inaweza kuongeza shinikizo kwa Starmer.Wapiga kura nchini Uingereza wanapiga kura leo . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

Rais wa Burundi ateuliwa na chama chake kuwania Urais 2027

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao lakini tarehe rasmi haijatangazwa.Ndayishimiye mwen . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Wapalestina wafanya uchaguzi wa kwanza baada ya Vita

Wapalestina waishio katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel, pamoja na wanaoishi kwenye eneo la katikati mwa Ukanda wa Gaza wanapiga kura Jumamosi 25.04.2026 katika uchaguzi wa mani . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 23, 2026

Trump Atoa Kauli Mpya Kuhusu Mazungumzo ya Amani na Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kuna uwezekano wa kuanza kwa duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran ndani ya siku chache zijazo.Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa n . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 22, 2026

Sudan Kusini inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu mwezi Desemba

Sudan Kusini inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu mwezi Desemba mwaka huu baada ya miaka mingi ya kucheleweshwa mara kwa mara.Na itakumbukwa kuwa uchaguzi huo uliotakiwa kufanyika tangu mwaka 2022 licha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 15, 2026

Kundi la mawasiliano la ulinzi la Ukraine lakutana Berlin

Kundi la Mawasiliano la Ulinzi la Ukraine linakutana hivi leo mjini Berlin kufuatia mualiko wa waziri wa ulinzi wa Ujerumani, Boris Pistorius.Kundi la Mawasiliano la Ulinzi la Ukraine (UDCG . . .

Kurasa 1 ya 19

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 24 masaa yaliopita

Ajali zaua zaidi ya 30 Moro,zaidi ya 37 wajeruhiwa, wamo Askari polisi

Matukio
news
  • October 1, 2026

Rubani shujaa asifiwa baada ya kuokoa mamia ya abiria

Matukio
news
  • September 29, 2026

Watu 80 watekwa nyara Nigeria, wengi ni wanawake

Matukio
news
  • September 29, 2026

TANAPA Yasitisha Njia Mbili za Kupanda Mlima Kilimanjaro Baada ya Moto

Matukio
news
  • September 28, 2026

Utalii unaendelea Mlima Kilimanjaro licha ya moto kuzuka

Matukio
news
  • September 28, 2026

Papa Leo ataka dawa za kupunguza maumivu kwa wagonjwa

Matukio
news
  • September 28, 2026

Ajali ya Ndege DR Congo Yaua Watu 17

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Ethiopia yaapa kusimama kidete kujilinda dhidi ya Eritrea

    • 16 masaa yaliopita
  • Navi Pillay ameshinda tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2026

    • 16 masaa yaliopita
  • Arajiga Kuchezesha Kariakoo Derby Kesho Uwanja wa Uhuru jijini Dar

    • 16 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode