logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Dini
  • Na Asha Business
  • February 1, 2022

Waandishi wawili wa habari wakamatwa na Taliban

Waandishi wawili wa habari wanaofanya kazi na kituo binafsi cha televisheni nchini Afghanistan wamekamatwa na maafisa wa kundi la Taliban kwenye mji mkuu Kabul kwa sababu ambazo hazijulikani. Wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

MLIMBWENDE AFARIKI BAADA YA KUJIRUSHA KUTOKA GHOROFANI

Aliyewahi kushika taji la Miss USA Cheslie Kryst amefariki siku ya Jumapili akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kuruka kutoka katika jengo refu huko Manhattan, New york.Polisi pamoja na familia . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

Takriban magaidi 60 wauwawa Burkina Faso

Takriban magaidi 60 wameuwawa nchini Burkina Faso na vikosi vya ndani vikisaidiwa na vile vya Ufaransa vilivyo pelekwa nchini humo kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la Ufaransa. Taarifa ya . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • January 30, 2022

Mahakama ya DRC yawahukumu kifo watu 51 kwa mauaji ya wataalam wa Umoja wa Mataifa

Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewahukumu adhabu ya kifo watuhumiwa 51 waliokabiliwa na kesi ya mauaji ya wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa waliouawa mwaka 2017.Id . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • January 30, 2022

Marufuku wajawazito kutozwa fedha hospitalini

Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jijini Tanga mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Makorora na kujionea hali ya utoaji huduma.“Naomba nisisitize hili si hapa tu bali ni nchi nzima, acheni ta . . .

Afya
  • Na Gsengo
  • January 27, 2022

RAIS SAMIA AWATAJA WANAOMTULIZA UBONGO WAKE.

 @Jembefmtz . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 26, 2022

MZEE MIAKA 55 AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI NA BINTI WA MIAKA 25.

Polisi wameanzisha uchunguzi katika kisa ambacho mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 55, amefariki katika chumba cha hoteli nchini Kenya, baada ya kufurahia burudani ya tendo la ndoa kati yake na mwan . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Watu Watano wa Familia Moja Wauawa Dodoma

Watu watano wa familia moja wamekutwa wakiwa wameuawa nyumbani kwao eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.Mkuu . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • January 21, 2022

'Mchungaji' akamatwa baada ya watu wenye ulemavu kupatikana wamefungiwa katika nyumba yake

Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.Maafisa wa polisi wanasema kwamba Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesh . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 20, 2022

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA ASEMA HATOJIUZULU

  Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anayepigania kuinusuru kazi yake baada kufanya sherehe za kunywa pombe ofisini na makazi yake ya Downing Street kipindi nchi ilipokuwa imefungwa ku . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • January 20, 2022

KUUNGUA KWA SOKO LA MITUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

             Rais Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wote wa soko la mitumba la Karume jijini Dar-es-salaam nchini Tanz . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 18, 2022

AJINYONGA JUU YA GOLI

Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye goli la kuchezea mpira wa miguu wa kijiji hicho huku pemb . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

BINTI ADAIWA KUMUUA MAMA ILI ARITHI MALI

Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi kwa tamaa ya mali, limeibuka tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi.In . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mapigano ya Wakulima, Wafungaji Malinyi Yachafua Hali ya Hewa

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, limesema wafugaji ambao walikimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyoibuka kati yao na wakulima katika Kijiji cha Itete wilayani Malinyi wamerejea baada ya h . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha

Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali.Tukio hilo limetokea siku chache baada ya mfanyab . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • December 29, 2021

Aliyejenga kaburi barabarani apewa siku 45 kuliondoa

 Baraza la Ardhi la Kata ya King’ori wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, limemtaka mkazi wa kijiji cha King’ori, John Peter Nanyaro anayedaiwa kujenga kaburi katikati ya barabara kuliondoa ndani . . .

Jamii
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Kenya: Baba Aua Mwanaye Kwa Kumsumbua Usingizini

Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae.Kijana huyo ambaye alikuwa mlevi alielekea chumbani kwa baba yake na kuj . . .

Dini
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

WATANZANIA WAASWA KUILINDA AMANI YA NCHI YAO

Mufti Mkuu wa Tanzania shehe Abubakari Zuberi amewatahadharisha watanzania kuilinda amani ya nchi yetu kwamba ikiondoka kuirudisha itachukua muda mrefu.Amesema hayo katika Maulidi ya kumswalia mtume i . . .

Jamii
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Makaburi takriban 200 kuhamishwa Vingunguti kupisha athari za mto

Baada ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekuja na mpango wa kuyahamisha yaliyosalia k . . .

Teknolojia
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Kamera mpya ya utafiti wa anga za juu yarushwa kutoka French Guiana

Kamera ya James Webb Space ya NASA, iliyotengenezwa kuiwezesha dunia kufahamu ulimwengu ulivyokuwa wakati sayari za kwanza zilipopatikana, ilizinduliwa kwa njia ya roketi mapema Jumamosi kutoka pwani . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Aliyelala Kitandani Mbeya Ajikuta Ameamkia Masasi Juu ya mti

SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya mti Masasi mkoani Mtwara akiwa amelala fofo, amesafirishwa kurejea Mbeya. Jum . . .

Afya
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

WATATU WAZALIWA MKESHA WA KRISMASI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA

Jumla ya watoto watatu wa kiume wamezaliwa katika mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa salama wenye afya njema.Akizungumza afisa muuguzi msaidizi kiongozi wa wodi y . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

TAARIFA YA KUFARIKI KWA ALIYEKUWA ASKOFU MKUU WA KANISA LA TAG

. . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 23, 2021

MBUNGE AFICHA MAGONGO YA MWENZAKE NCHINI KENYA

Katika hali ya kushanganza Mbunge mmoja wa jimbo la Embakasi Mashariki nchini Kenya aliyefahamika kwa jina Babu Owino amezua taharuki bungeni baada ya kuficha magongo ya kutembelea ya mbunge mwenzake . . .

Kurasa 59 ya 60

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Michezo
news
  • 20 masaa yaliopita

LAKE VICTORIA MARATHON KUWAGUSA WATOTO NJITI

Habari
news
  • jana

Wahamiaji 139 wamefariki na wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

Habari
news
  • jana

Serikali yafikiria kuweka faini kwa wanaochelewa kuchukua NIDA

Habari
news
  • jana

Hakuna kisa kipya cha Ebola baada ya vipimo 293

Habari
news
  • jana

Karibia wachimba madini 72 wameuawa katika shambulio la angani

Habari
news
  • jana

Iran na Saudi Arabia zafanya mazungumzo ya njia ya simu

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

Trump Aitaka Ukraine Kupata Rais Mpya, Watofautiana Kuhusu Urusi

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • LAKE VICTORIA MARATHON KUWAGUSA WATOTO NJITI

    • 20 masaa yaliopita
  • Wahamiaji 139 wamefariki na wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

    • jana
  • Serikali yafikiria kuweka faini kwa wanaochelewa kuchukua NIDA

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode