kutafuta suluhu ya vita yakiendelea. Maafisa wa Ukraine, Ulaya na Marekani walikutana Miami siku ya Ijumaa kujadili pendekezo la pamoja la kumaliza vita hivyo, kwa mujibu wa mtu aliyefahamu mazungumzo . . .
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Smita Bhalia akimuonesha moja ya mfumo unaotumiwa na Taasisi hiyo kutafsiri lugha mbalimbali Kansela wa Uchumi na Biashara k . . .
Ethiopia imesema itajilinda dhidi ya kile inachokiita uvamizi wa kijeshi wa Eritrea, ikidai wanajeshi wameingia hadi kilomita 60 ndani ya nchi. Eritrea inasema madai hayo yanalenga kuhalalisha vita dh . . .
Navi Pillay, aliyekuwa Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu kwenye Umoja wa Mataifa, kati ya mwaka 2008 hadi 2014, ndio mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2026.Jørgen Watne Frydnes, Mwenyekiti w . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Cuthbert Sendiga, na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus . . .
maadhimisho ya siku ya Mwalimu duniani 2026 yamefanyika shule ya sekondari ya ushirombo wilaya ya bukombe mkoani geita . . .
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan haitakubali urasimu ama vikwazo kukwamisha shughuli za wawekezaji, akisisitiza kuwa mkoa upo nyuma kusi . . .
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta ya mawasiliano na teknolojia.Kikao hicho kime . . .
Mwili wa Jane Urassa umefikishwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa ajili ya ibada ya kuaga kabla ya kusafirishwa kuelekea Machame, mkoani Kilimanjaro, ambako a . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi kuhusu maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha D . . .
Vyanzo kadhaa nchini Ethiopia vimethibitisha Eritrea kutuma wanajeshi wake kaskazini mwa nchi hiyo, hali inayotishia kuufanya mzozo wa ndani kuwa wa kikanda.Kulingana na vyanzo hivyo, wanajeshi wa Eri . . .
Ndege zisizo na rubani za Ethiopia zimeshambulia mara kwa mara wanajeshi wa Eritrea waliotumwa hivi karibuni kuzunguka mji wa Adigrat kaskazini mwa mkoa wa Tigray wa Ethiopia, ambao unapakana na Eritr . . .
Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika ukumbi wa The Aga Khan Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 04 hadi 07 O . . .
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuvifuatilia vyama vya siasa ambavyo havionekani kutekeleza . . .
"Kipindi kilichowekwa awali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi kimeahirishwa," inasema taarifa kwa vyombo vya habari kutoka kwa Tume ya muda ya Uchaguzi , ikiondoa kutajwa kabisa kwa tarehe ya uchaguzi . . .
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amewaondoa hofu wananchi wanaopelekwa kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, akisema hospitali hiy . . .
Serikali ya Zimbabwe imesema mabaki ya helikopta aina ya Bell 430, yenye usajili Z-PED, yamehamishwa hadi Karakana ya Ndege ya Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Charles Prince, ambako wataalamu wataf . . .
Simulizi ya kusikitisha imeibuka katika Jimbo la Limpopo, Afrika Kusini, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 27, ambaye pia ni mjamzito, kufikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka mawili ya maua . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AI . . .
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Kipolisi Rufiji, imemhukumu Juma Mfaume Kombo (20), mkazi wa Kijiji cha Tengere wilayani Mkuranga, kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Shilin . . .
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika Jimbo la Ondo, kusini mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya watu 32 Oktoba 9, 2026 . . .
Nchini Uingereza, kesi ya washtakiwa wenza katika kesi kubwa ya ubakaji nchini Uingereza inaanza leo Jumatatu. Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka sitini alikiri kosa la kumpa madawa ya kulevya na ku . . .
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ametangaza leo Jumatatu kwamba ataitisha uchaguzi wa mapema wa wabunge wa Novemba 29, baada ya kukataliwa siku ya Ijumaa kwa hatua ambazo serikali yake ilikuwa i . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya wanafunzi 4,213,144 watafanya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, Darasa la Nne na Kidato cha Pili utakaofanyika katika maeneo mbalim . . .
Familia ya Wicknell Chivayo, imesema hakutakuwa na utaratibu wa kuonyeshwa miili ya marehemu Chivayo na mke wake, Lulu, kabla ya mazishi kutokana na hali ya miili yao baada ya ajali ya helikopta . . .
Marekani imewafukuza nchini humo wajumbe wawili wa ujumbe wa Iran waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA), baada ya kudaiwa kukaidi amri ya kuondoka nchini humo baada ya kumalizika kwa m . . .
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi, amesema Afrika ina sera, mikakati na makubaliano mazuri ya maendeleo, lakini sasa inapaswa kuongeza kasi ya utekelezaji ili rasil . . .
Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani na kisha kujisalimisha kwa Poli . . .
Marekani imetaka mazungumzo huku viongozi wa Misri, Eritrea, Somalia na Sudan wakijadili mgogoro wa Tigray. Jeshi la Ethiopia limeripotiwa kuingia Mekelle, huku hofu ya vita vya kikanda ikiongezeka.Ma . . .