Dar es Salaam, Tanzania – Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu Novemba 04, 2025&nbs . . .
Kuelekea kongamano la Kimataifa kuhusu amani kwenye ukanda wa Maziwa Makuu litakolofanyika siku ya Alhamisi jijini Paris, mashirika kumi na . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya amewataka Maafisa na askari na Polisi wasaidi . . .
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Hassan Nahero mwenye umri wa miaka 55, mkazi wa Ki . . .
Serikali imeihakikishia Timu ya Waangalizi ya Uchaguzi ya Wabunge-Wanawake kutoka Jumuiya ya Madola (CWP) kuwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabung . . .
Menejimenti ya Wizara ya Madini Oktoba 27 mwaka huuu ilikutana na Wakuu wa Taasisi zake katika kikao kilicholenga kupokea taarifa ya ufuatil . . .
Zoezi la kura ya mapema limeanza kwa mafanikio makubwa visiwani Zanzibar, likiendelea katika hali ya amani, utulivu na uwazi, huku Wapiga Ku . . .
Wajumbe wa Kamati za Utafiti na Ubunifu ambayo ni Kamati Elekezi na Kamati ya Kiufundi wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi uwazi n . . .
Serikali inaendelea na zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha sita kutoka mikoa ya Tab . . .
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda Oktoba 28 mwaka huu amekabidhi rasmi hundi za malipo ya fidia kwa kaya 28 za wak . . .
Wizara ya Kilimo imekabidhi vifaa vya umwagiliaji kwa wakulima 383 wa Wilaya za Songea na Nyasa mkoani Ruvuma vitakavyowasaidia kumwagilia z . . .
Tamasha la Land Rover Iringa 2025 litakalofanyika mwezi Novemba 2025 linatarajia kutangaza vivutio vya utalii vya mkoa wa Iringa hivyo kuvut . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi ameongoza Menejimenti ya Wizara kumuaga Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakuly . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amewahimiza Watanzania kutumia ipasavyo fursa ya Uchaguzi Mkuu u . . .
Wizara ya Afya imepokea vifaa vya Ofisi kutoka asasi ya kiraia iitwayo Thamini Uhai ambapo imekabidhi samani za ofisi zikiwemo meza 2, viti . . .
Ripoti kutoka Mabilionea Bloomberg Mfanyabiashara mkubwa wa nchini Nigeria, Aliko Dangote, ameandika historia mpya kwa kuwa Mwafrika wa kwan . . .
WATU 12, wakiwemo watalii, wanahofiwa kufariki baada ya ajali ya ndege kutokea katika eneo la Vyungwani, Matuga, Kaunti ya Kwale, asubuhi ya . . .
Kutoka kwenye website ya Magereza nchini Marekani (Federal Bureau of prison) Msanii Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka Gerezani Mei 202Didd . . .
Usalama kwanza: Katika ulimwengu wa uandishi wa habari tamaa ya kupata habari kubwa na ya p . . .
Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM na Mwenyekiti wa chama hicho . . .
MWANAFUNZI wa shule ya upili iliyo eneo la Lamu ya Kati, Kaunti ya Lamu, huenda akalazimika kufanya mitihani yake ya KCSE akiwa chini ya uli . . .
Alassane Ouattara, ambaye ameiongoza Côte d'Ivoire tangu mwaka 2011, ametangazwa kushinda uchaguzi wa urais wa Oktoba 25, 2025, kwa kishind . . .
Baraza la Haki za bindamu la Umoja wa Mataifa, limewateua watalaam watatu, kuchunguza madai ya ukiukwaji wa haki Mashariki mwa Jamhuri ya Ki . . .
LOLITA Borega aweka rekodi nyingine tena nchini Tanzania baada ya kung’ara katika mashindano ya AA Junior and Senior Open Water Swimming C . . .
Klabu ya Juventus imemfuta kazi kocha wao Mkuu Igor Tudor baada ya kupoteza wa Serie A dhidi ya Lazio kwa goli 1-0. Igor alijiunga na Klabu . . .
Marekani imepunguza shinikizo la kidiplomasia na Mali, ikiondoa taifa hilo la Afrika Magharibi kutoka kwenye Mpango wa Jaribio la Visa Bond . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewataka waumini wa Kanisa la Deliver Hope for All Nations lililopo Kata ya Kizumbi Wilaya ya Shinyanga . . .
Taasisi ya Elimu Tanzania ( TET) na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wamefanya kikao cha pamoja kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimba . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Oktoba 26 mwaka huu aliwasili Seychelles kwa ajili ya kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa amezindua ugawaji wa vifaa vya umwagiliaji kwa wakulima wadogo ili kuwawezesha vijana na wanawake . . .
Jumla ya vituo 384 vya kupigia kura vimeandaliwa katika Jimbo la Mwibara na Bunda katika kata kumi na tisa ili kurahisisha zoezi la upigaji . . .
HALMASHAURI ya Manispaa ya Mpanda na Mkandarasi M/s Chonqing International Construction Corporation (CICO), wametiliana saini mkataba wa uje . . .
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma kupitia Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Namtumbo Oktoba 24 mwaka huu ilitoa elimu ya ki-Uhamiaji kupitia Kam . . .
Wasimamizi wa uchaguzi mkuu 2025 wametakiwa kufanya kazi kwa kufuata Miongozo kanuni na Sheria za uchaguzi pia Kuwa waadilifu na . . .
Lebanon kupitia wizara yake ya afya imesema mashambulizi ya Israel kusini na mashariki mwa nchi hiyo, yamewaua watu watatu, licha ya makubal . . .
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara anatazamiwa kushinda muhula wa nne madarakani, wakati matokeo ya awali yakiashiria ushindi wa kishindo . . .
Abiria wa safari ya kwanza ya moja kwa moja kati ya India na China katika kipindi cha miaka mitano wamewasili leo Jumatatu, baada ya mataifa . . .
Takriban watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano mjini Douala nchini Cameroon siku ya Jumapili wakilalamikia wizi wa kura, . . .
Baada ya Gazeti la Wall Street Journal kuripoti kuwa utawala wa Trump umeondoa kizuizi muhimu kwa Ukraine kutumia baadhi ya makombora ya mas . . .
Donald Trump ametangaza kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Thailand na Cambodia alipowasili Malaysia siku ya Jumapili kama sehemu ya zia . . .