SIMBA NA YANGA MZANI SAWA.

Klabu za Simba na Yanga zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Ligi ya NBC

Yanga inaendelea kukaa kileleni mwa Ligi ikifikisha alama 20 na Simba inabaki katika nafasi ya 2 ikiwa na alama 18.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii