Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC leo Januari 23, 2022

Sasa kutoka Msimbazi hadi Jangwani ‘gap’ ni pointi 10, wakati huo Coastal Union wanashuka kwa nafasi moja huku Namungo wakipanda kwa nafasi tatu kutoka nafasi ya 9.

Huu ndiyo msimamo baada ya raundi ya 13.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii