Liverpool wanafikiria kumsajili Semenyo

Liverpool inafikiria kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana Antoine Semenyo, 25, msimu wa uhamisho wa wachezaji Januari mwakani. (i Paper - usajili unahitajika)



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii