EWURA Yatangaza Mabadiliko ya Bei za Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli zitakazotumika kuanzia leo Januari 7, 2026 saa 6:01 usiku.

Kwenye mabadiliko haya, bei ya petroli imepanda kutoka TSh 2,749 mwezi Disemba 2025 hadi TSh 2,778, wakati bei ya dizeli imepungua kutoka TSh 2,779 hadi TSh 2,726 kwa mkoa wa Dar es Salaam.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii